KIjna unataka source ipi...?Kumbe unaleta hadithi za Abunuwasi katika ulimwengu wa logic na facts? pita kushoto Mkuu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Israel ndio mchezo wake kupiga kwenye civilian areaKuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mama nijaye halikadhalika nawe una Mama, fuvu ninalo halikadhalika nawe una fuvu, au nasema uwongo Ndugu yangu?KIjna unataka source ipi...?
au mama yako akileta source ndiyo utaamini..?
Acha ujinga...fungua hilo fuvu toa makamasi na ulijzae maarifa.
Sawa Mtaalamu wa vita toka Kisemvule.Israel ndio mchezo wake kupiga kwenye civilian area
Mufti Saa sita hii ....Huna Ibada leo ?God Bless Iran
God Bless True Promise 3
Ayatollah shikilia hapohapo, huyu mwehu kaweka THAAD kwenye makazi ya watu
Better to find common ground when dealing with difficult peopleKuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Harafu unakuta mtu yupo zake Katavi anashangilia balaa..😆😆😆😁 Yaani wamegeuza maisha ya watu kama maharage dahh !!!! Power sickness ni ugonjwa mbaya sana
Nimecheka kifara sana hapa..Mufti Saa sita hii ....Huna Ibada leo ?
Wenzetu dunia ya kwanza huwa wanakokotoa vizuri mahesabu yao kivita hata miaka 20 mbele kabla ya kuingia vitani.Better to find common ground when dealing with difficult people
Napenda mno taarifa yako, ni ukweli na uhakika.Ukiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete!
Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel
Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel
Strikes hit central and north Israel as the Israeli military carries out further attacks in Iran.www.bbc.com
Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel'
Sunday 15 June 2025 04:14, UK
Trump-Iran live: 'Death to America' chants in Tehran - as Iran hits out at Trump's 'unacceptable' remarks about supreme leader
Donald Trump lashed out at Iran's supreme leader over claims Tehran won the war against Israel. But Iran's foreign minister warned the US president about his "disrespectful and unacceptable tone". Follow live and listen to Trump 100 below.news.sky.com
Iran hit with new strikes after launching missile barrage into Israel
15/06/2025
France 24 - International breaking news, top stories and headlines
Breaking news and world news from France 24 on Business, Sports, Culture. Video news. News from the US, Europe, Asia Pacific, Africa, Middle East, Americawww.france24.com
Nyongeza:
Iran fires missiles at Israel, kills 7, after attacks on oil sites
Israel-Iran updates: IRGC intelligence chief, two generals killed
IRGC’s intelligence chief and two other generals were killed in Israeli attacks on Sunday.www.aljazeera.com
Iran warns foreign weapons deliveries to Israel are ‘legitimate target’: Live Updates
Iran has threatened to strike shipments of military aid to Israel as hostilities between the two countries continueswww.rt.com
Vita sio ya kushangilia kabisa kama mpira wa Yanga vs Simba..Wanaumeeeeee
Eti kwenye shelters. HahahaMwenzie anatarget ZAIDI ya 150+
Yeye anarusha kuashiroa revenge