Kuna ma-ex wengine ni kama wachawi

Kuna ma-ex wengine ni kama wachawi

Usioe mwanamke asiye na bikra.

Sijui ni wapi sieleweki.

Vijana wa sasa hivi hata asome apate PHD bado hawezi elewa mantiki ya hoja yangu.

Nakazia; Kwa wale ambao sio sikio la kufa; Usioe Mwanamke asiye na bikra.

Kama umeoa inabidi uvumilie tuu.
Unaweza kumuoa vile still akatoka nje ya ndoa tena na tena hatimae akawa na maex kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I agree cutelove unaachana na mtu unajiuliza hivi yule ni mtu ama jinni ulikua kwenye uhusiano nae
 
Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake

Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo

Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike

Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!

Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo

Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!

Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)

NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani

Merry Christmas John

Sent using Jamii Forums mobile app
pumbafu kabisa,,,, nyie ndio mnafanya vijana wanateseka kutafuta bikra!!!......

..........japo uliyoongea ndio uhalisia wa maisha yetu, ndoa nyingi zina watoto wa ma-x......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu binti hapo anajisifia nini?..... yan vijana watateseka sana kupata wake aisee
Wewe ni bikra? Unachokisema ndivyo inavyotakiwa, Ila kwa dunia ya sasa makosa yanafanyika. Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa' wanawake wasiadhibiwe sababu ya kukosa bikra maana makosa yapo. Kuna makosa halafu kuna uhuni. Kama ilivyo Kuna Kunywa pombe halafu kuna ulevi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake

Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo

Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike

Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!

Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo

Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!

Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)

NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani

Merry Christmas John

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliambiwa ndoa hufa lakini uhawala haufi!
 
Ndio maana kuna dada mmoja niliwahi mgegeda takribani miaka minne sasa ila ajabu kwa mwaka mala moja au mbili lazima anitext Mmmh yaani wewe,nami huwa sijibu maana kupasha viporo waweza kuta vilishachacha,bora kuvipotezea kimyakimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakula eti hili ni limke la mtu,dah hasara sana,shetani anawaza hadi kumchomekea mumewe mtoto,hili dubwana ni fungu la motoni tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake

Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo

Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike

Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!

Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo

Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!

Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)

NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani

Merry Christmas John

Sent using Jamii Forums mobile app
GRAMAA uliipata hii? Bado anakukumbuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom