Kuna ma-ex wengine ni kama wachawi

Kuna ma-ex wengine ni kama wachawi

Nyie watu mmeshatoka kanisanijamani? Sisi tulokesha Jana kanisani tulitoka saa 7 .nendeni kusali ambao hamkwenda, sisi bado tumelala.
 
Usioe mwanamke asiye na bikra.

Sijui ni wapi sieleweki.

Vijana wa sasa hivi hata asome apate PHD bado hawezi elewa mantiki ya hoja yangu.

Nakazia; Kwa wale ambao sio sikio la kufa; Usioe Mwanamke asiye na bikra.

Kama umeoa inabidi uvumilie tuu.
 
Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake

Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo

Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike

Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!

Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo

Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!

Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)

NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani

Merry Christmas John

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho naanza kujiita jon na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuni ndo huu, uzinzi na ushetani. Hiki ndo kiwang cha uhuni ambacho hata mtu anapondoka katika huu ulimwengu wa mwili na nyama basi watoto wanarithi hizo tabia. Nao wanazaa na kuzalishwa hovyo hovyo na kuleta huo uongo na uchafu ndani ya familia zao na kwa waume zao, chain inaendelea. Kinakuwa kizazi cha wahuni, wazinzi na wabeba mimba kwa kujificha kwenye ukisasa wa kuitana my X.

Mwanaume unapobahatika kuoa mwanamke wa familia hii au uzao wake unakuwa na bahati mbaya sana maana umeoa muhuni au uzao wa wahuni. Utalea watoto wasio wako bila taarifa, na wanao watarithi tabia za mama yao.

Merry xmass kwa wahuni wote na wanaume waliooa wahuni, na binadamu wote.

Uhuni ni kuoa mwanamke asiye na bikra.
Uzinzi nao ndio hivyo hivyo. Ukioa Mwanamke asiye na bikra unatoa kizazi cha wazinzi. Wahuni wahuni tuu.

Hakuna jamii inayoheshimu bikra ukute hizo hadithi. Sijui Mtoto wa nje, sijiui Single mother, sijui upuuzi gani.

Mtoa mada anaongea jambo ambalo kwa wanawake ni 99% wapo hivyo.

Hiyo moja ni wachache sana.

Wanawake walioolewa na bikra 99% ndoa zao zina furaha. Hazitoi kizazi cha zinaa.
 
Kwa mabikira hawachepuki,tena wa hivyo wanaruka na mageti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuni ni kuoa mwanamke asiye na bikra.
Uzinzi nao ndio hivyo hivyo. Ukioa Mwanamke asiye na bikra unatoa kizazi cha wazinzi. Wahuni wahuni tuu.

Hakuna jamii inayoheshimu bikra ukute hizo hadithi. Sijui Mtoto wa nje, sijiui Single mother, sijui upuuzi gani.

Mtoa mada anaongea jambo ambalo kwa wanawake ni 99% wapo hivyo.

Hiyo moja ni wachache sana.

Wanawake walioolewa na bikra 99% ndoa zao zina furaha. Hazitoi kizazi cha zinaa.
Wewe ni bikra? Unachokisema ndivyo inavyotakiwa, Ila kwa dunia ya sasa makosa yanafanyika. Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa' wanawake wasiadhibiwe sababu ya kukosa bikra maana makosa yapo. Kuna makosa halafu kuna uhuni. Kama ilivyo Kuna Kunywa pombe halafu kuna ulevi,
 
Usioe mwanamke asiye na bikra.

Sijui ni wapi sieleweki.

Vijana wa sasa hivi hata asome apate PHD bado hawezi elewa mantiki ya hoja yangu.

Nakazia; Kwa wale ambao sio sikio la kufa; Usioe Mwanamke asiye na bikra.

Kama umeoa inabidi uvumilie tuu.
Bikira zitoke wapi ndugu yangu,mtoto anamaliza la 7 Hana bikira,chance ya kupata msichana aliyemaliza form 6 mwenye bikira ni 1 kwa 1000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom