Kuna ma-ex wengine ni kama wachawi

Kuna ma-ex wengine ni kama wachawi

Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake

Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo

Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike

Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!

Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo

Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!

Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)

NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani

Merry Christmas John

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli 7,800 ilipendeza
 
Hivi mapenzi nayo ni bahati?
 
Wewe ni bikra? Unachokisema ndivyo inavyotakiwa, Ila kwa dunia ya sasa makosa yanafanyika. Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa' wanawake wasiadhibiwe sababu ya kukosa bikra maana makosa yapo. Kuna makosa halafu kuna uhuni. Kama ilivyo Kuna Kunywa pombe halafu kuna ulevi,

Mimi ni nani niwaadhibu wanawake.

Mimi nawapa ushauri vijana ambao wanataka waishi maisha ya ndoa iliyokusudiwa yenye furaha.

Wale sikio la kufa waache kufuata ushauri huu.

Tokea lini mwanaume akawa na bikra?

Sijajua unaelimu ya lugha ama vipi. Ila mada ya bikra tulishajadili humu kuwa bikra ni nini? Hasa maana ya msingi ya neno hilo. Achana na maana matlaba.
 
Bikira zitoke wapi ndugu yangu,mtoto anamaliza la 7 Hana bikira,chance ya kupata msichana aliyemaliza form 6 mwenye bikira ni 1 kwa 1000.

Sent using Jamii Forums mobile app

Vitu vizuri hupatwa na wachache. Kazana mzee.

Ukitaka ufanikiwe usikae kwenye kundi lenye watu wengi. Watu wengi ni tabaka la chini.

Matajiri wapo wa chache
Watakaoenda mbinguni ni wachache
Watakatifu ni watu wachache
Watakaoishi umri mrefu ni wachache
Wanaooa bikra ni wachache

Ukishajua jambo dogo kama hilo unatakiwa kufight
 
Mm nahisi hakuna mtu ambaye hachepuki duniani...si mwanamke wala mwanaume....kuchepuka ni asili yetu binadamu....ndoa nikautaratibu tu kaki-maendeleo ili kupunguza watoto wa mitaani.
 
Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake

Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo

Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike

Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!

Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo

Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!

Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)

NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani

Merry Christmas John

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inatokea kwa wanawake sijui kwa nini huwa hamzahau ma-x wenu
 
Na wewe pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni nani niwaadhibu wanawake.

Mimi nawapa ushauri vijana ambao wanataka waishi maisha ya ndoa iliyokusudiwa yenye furaha.

Wale sikio la kufa waache kufuata ushauri huu.

Tokea lini mwanaume akawa na bikra?

Sijajua unaelimu ya lugha ama vipi. Ila mada ya bikra tulishajadili humu kuwa bikra ni nini? Hasa maana ya msingi ya neno hilo. Achana na maana matlaba.
Inawezekana tunatofautiana maana ya neno bikra. Ila kwangu mm bikra ni kitu kipya ambacho hakijawahi kutumika au kufunguliwa.

Ndio wanaume wanaume ambao hawajawahi kufanya mapenzi au ngono ni bikra. Siku ya kwanza kumuingilia mwanamke ndiyo siku uliyofuta bikra yako.
 
Ndio maana tunashauriwa tuoe Bikra hutosikia huu Upuuzi ukioa Bikra
 
Umeachana na mpenzi wako miaka 2,3,4,5 iliyopita.Na baada ya kuachana mnaamua kuendelea na maisha yenu kila mtu kivyake

Lakini jamani kuna muda huwa kuna ex fulani huwa anakuja automatically kwenye mawazo yako,sjui inakuwaje hapo

Na ukute ex wako ana familia yake, ila unakaa muda mwingine unamuwaza hadi unamuwaza na unatamani utafute picha yake kwenye social network umuangalie au umtumie sms tu moyo uridhike

Kama yupo mbali unatamani ujue maisha yake kwa sasa yakoje,unatamani umpate mtu wake wa karibu akuelezee maisha yake kwa sasa dah!

Ingawa muda huo upo kwenye mahusiano na mwingine ila kuna vitu unakuwa unamlinganisha na yule ex wako na sijui ni kwa nini inatokea hivyo

Na siyo ex wote ,no! Kuna ambaye ni very important ambaye unajikuta unammiss from no where!

Na mara nyingi ex huyu mnaweza mkapasha viporo mpaka uzeeni na mkapeana zawadi ya watoto kadhaa kwenye ndoa bila mwanaume wa ndoa kujua (Kitanda hakizai haramu)

NB ,Kama wewe ni mwanaume halafu huna ex ambaye anakuwza ujue wewe huna bahati ya mapenzi hapa duniani

Merry Christmas John

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mjumbe mmoja alisema kuoa bikra ni kujenga familia yenye uaminifu na uvumilivu wa maisha kwa 90%.
Vijana oeni mabikra mkikosa, hawa waliozalishwa ni zaidi ya hepatitis kwa ushahidi wa huyu mama hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiachana ndy imeishaaaaaa hiyoooooooooo, kwanza mambo ya kumuwaza mtu ambaye haniwazi siwezi, labda tukutane njiani tu tena salamu tu inakutosha.

Tena usiombe tuachane kwa ugomvi utajutraaaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom