Kuna Lipsi mbili

Samwel0759

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
19
Reaction score
11
Boss mmoja katangaza nafasi za ajira kwa kazi ya secretary. mabinti kibao wame-apply na muda wa interview umefika
boss: mwanamke ana lips sehemu mbili,hebu nambieni tofauti ya lips hizo
binti 1: lips za kwanza zina meno na nyingine hazina
boss: vema
Binti 2:lips za kwanza zina nywele na nyingine hazina yaani ni-kipara
boss: vizuri,ww ni mbunifu
binti 3: lips za kwanza zinaweza kuongea wakati nyingine haziwezi
boss(anacheka):-vizuri saaana
binti 4: lips za kwanza ni zangu kutumia na nyingine zitatumiwa na boss wangu
boss(anakenua) hee hee hee,umeajiriwaa!! hongera sana. Nyinyi wengine samahani tulikuwa na nafasi moja tu ya kazi,sasa imejazwa
Huyu boss ni_________anza-na like
 
Sijaelewa.
Umesema?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…