Hata mbuyu ulianxa kama mche wa mchicha....lakini leo hii umekuwa mkubwa na kuzuia njia.....Tusiombe wafike huku
Unajua kutofautisha kati ya igizo na uhalisia?
unakuta dada au ndugu yako wa karibu aliuliwa au kubakwa na unaambiwa huyo ndiyo yuko jeshi hilo. nini kisu cha mbavu! utamchinja kama kuku.kisu cha mbavuni live na kipigo juu
jamaa keshaikoki
Ushindwe na uregee!!Hiii sio pemba kweli....???