Kuna kuolewa hapa kweli?

Kuna kuolewa hapa kweli?

Siku ya kwanza nilikuwa nimelewa kwa hiyo alivyonipata hapo, tulipokuja tena kufanya akaendelea japo sikuwa nataka ila ikabidi tu nimuachie tu. Mapenzi ni upofu mwee

Pole, hilo limeshatokea.

Fata ushauri ambao unaona ni sahihi kutoka kwa wadau.
 
Sasa atafanyaje? katumika miaka 3 mbaya zaidi katoa mpaka visivyotakiwa kutolewa then akishatoka hapo nani atakula makombo?
Wanaume wenyewe hawa siku hizi wanajishaua wanatakamo na bikra
kwahiyo hapo ndio kashayakanyaga na kutoka hawezi? No way bado anayo nafasi bhana
 
Hakuna narudia HAKUNA mwanaume wa kuoa mtu anayeliwa tigo , hata kama kakufundisha yeye.
Wewe utakuwa kipozeo tu lakini mke wake atamheshimu na hatamuomba tigo hata siku moja..

Wewe endelea kugawa tigo tu ...na mimi nikipata hela baada ya hii koona ntakuja PM
 
Wakuu habari zenu humu,

Nina huyu Bf wangu tuna muda mrefu pamoja, yeye umri umeenda kidogo maana ni 40+ na mimi nakaribia 30. Nilimpenda huyu baba sana naye alinipenda na nilijua atanioa. Basi nikimpa mapenzi motomoto, nilijituma kweli kweli, yaani kwenye 6x6 nilihakikisha anaridhika kabisaa, na hapa ndio nikajikuta nampenda mpaka nikakubali kuliwa mpaka michezo ya nyuma na anapenda sana hayo mambo, sikuona shida maana nilijua ndio mume wangu huyu.

Sasa tupo pamoja huu mwaka 3, sioni dalili yoyote ile, hata kwao hajanipeleka zaidi ya kuwa namjua kaka ake mmoja tu. Mama yake yupo ila baba yake alishakufa. Hata nikijisemesha semesha kuhusu future yetu wala hachangii sana na atabidili mada fasta. Sasa mimi nimechoka kwa kweli, zaidi naona ananitumia tu na hiki kupindi cha Corona basi nakoma mimi, (maana kwa sasa sina kazi kwa hiyo nipo hapa kwake kwa muda huku naangalia michongo mingine) maana bar haendi tena basi akirudi tu nyumbani yaani yeye anataka tu mapenzi tu, kabla hatujala, baada ya kula, tukiwa tunaangalia movie, yaani kifupi muda wote yeye anataka tufanye tu na huo mchezo wake wa nyuma ndio nachoka kabisa.

Ki ukweli nimeanza kuchoka haya maisha na ukimnyima mchezo ni ugomvi au kununiwa haswa. Sasa nawaza tu huyu mtu atanioa kweli ama ananitumia tu hapa? Natamani kumuuliza ila naona kama ataniona labda nampendea ndoa tu, ile je yeye anavyonitumia ni sawa? nimechoka jamani.

Naombeni ushauri jamani
kwa umri huo alionao jaribu kuchunguza itakuwa alishawahi kuwa ndoa miaka ya nyuma.
 
Hapo hakuna jipya, jiongeze
 
Nina kwangu, sema kazi ndio nimeacha na kuna moja nafuatulia sehemu, sema na hii Corona duh. Sasa kuondoka tu ghafla ndio nawaza nitaishi vipi kupindi hichi sina kazi. Yaani najifikiria haswaa
Hujitambui,hujiamini naamini huyo Mwanaume amegundua udhaifu wako na anakuchezea. U
meandika kwamba "Nitaishi vipi kipindi hiki sina kazi" kabla yake ulikuwa ukiishi vipi mpendwa kesho yako anajua Mungu na si binadamu.
 
PuraVida_Fire unaonyesha uko desparate sana kwa ajili ya ndoa. Unavyosikitika kua humuelewi hakuna ndoa....
Ulishawahi kuona mtu amekufa kwasabu hajaolewa?
Alishawahi ona mtu amekatika mkono au mguu kwasabu hajaolewa?
Ndoa ambayo upo tayari kudhalilisha utu wako ili uolewe sio ndoa .
Pambana na maisha yako jijenge, take care of yourself move one na ndoa itakufata when your not looking for it. Utapata mtu anajua thamani yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom