Kuna kundi linasubiri Ubwabwa

Kuna kundi linasubiri Ubwabwa

Hapo ndo nmejua kwanini Dar na pwani kuna machoko kibao sababu ya umwinyi na utegemezi pata picha mtu unampa laki tu anasema ataka vichwa ukimuongeza hamsini si unambandua kipira?
😂😂😂😂😂
 
1000622851.jpg

Sisi hatutaki Haki twataka Amani na ubwabwa tu
 
Ukiwapa Ubwabwa, umewa win by 100%
Mkuu, wapenda ubwabwa wako sehemu zote. Tena hawa unaowazungumzia ni machoko wachache mno, wale wajanja wa mjini wanaopenda kula vya dezo. Unajua jiji la Dar lina masalia ya utamaduni wa u-mwinyi, na hawa watu asili yao wanaishi kwa kupiga porojo. Unaona hata club za Yanga na Simba zimeathiriwa na hawa watu, wapiga porojo. Dini wanatumia kama kichaka tu kama anavyofanya Mwamposa.
 
Back
Top Bottom