sikutaka kutaja jina,ni kwel nakubaliana na wewe
Sio wajibu wake, ila angemsaidia ingekuwa vyema. Sio lazima kama mzazi (huenda hata sio baba yake) lkn kama binadamu yoyote ahitajiye msaada.
Ni wajibu wa mzazi kumtunza mtoto aliyemzaa, lkn ni baraka kwa mtoto kumtunza mzazi wake awapo mzee na asiyejiweza. Sasa mbaba mwenye late forties sio mzee.
Thanks for being so bold, and articulate in bringing what you consider essential for consideration before anymore steps are taken in that direction.
I hope you wont only deal with EA Federation agenda, but other similar incidents both within and outside TZ, i.e extension of contract for the Container Handling Company in the DAr Port, Presidential Jet saga, Kigamboni Ferry menace, Muhimbili National Hospital state, patient refferal system to India etc!
Sio wajibu wake, ila angemsaidia ingekuwa vyema. Sio lazima kama mzazi (huenda hata sio baba yake) lkn kama binadamu yoyote ahitajiye msaada.
Ni wajibu wa mzazi kumtunza mtoto aliyemzaa, lkn ni baraka kwa mtoto kumtunza mzazi wake awapo mzee na asiyejiweza. Sasa mbaba mwenye late forties sio mzee.
Hakuna , Mungu ndiye muhukumu,anapaswa kumsaidia tu,ndo maana kwa wakristo katika sala ya Baba yetu kuna kipengele kinasema tusamehe makosa yetu kama na sisi tunavyowasamehe waliotukosea, kuna nguvu kubwa sana ya kusamehe.
i hope so
si ungesema tu Diamond.....
amsaidie tu sidhani ka kuna jambo atapungukiwa zaidi naona tu kuna baraka atapata.
Sijui hata tunachotakiwa kukifanya hapa ni kipi na kipi sahihi
Nimeshidwa kuunganisha dots kabisa
Ngoja niwe mpole kwanza!