Hilo ni swali ama?Habari zenu wana jamvi ndugu zangu akili yangu inanituma kuamini kuwa watanzania kuna kitu tunafichwa pale TRA.
Najiuliza iweje mkuu apangue bodi iliyowezesha mapato kupanda hadi trilion 1.2 kwa mwezi. Baada ya kufuta bodi hapo hapo mkuu wa nchi anamteuwa Naibu Kamishna nafasi iliyoku wazi kwa mwaka mzima wakuu hapa kuna kitu.
Huenda kuwa makusanyo tuliyokuwa tunatangaziwa na TRA ni figure feki labda mzee kashtuka. Kiukweli hainiingii akilini eti mzee kaamua kupiga bodi nzims chini na kuteuwa mkusanya kodi mkuu mamba mbili bila kuwa na tatizo mzee atakuwa kachoka na figure izi feki bodo tuna safari ndefu.
Mawazo yamekusaidia kufomulate maswali mazur ngoja tusubiri majibu kwa wajuziIngefaa kama ungeuliza nini sababu za kutenguliwa Mwenyekiti wa Bodi ya TRA,
Ungeuliza kwanini Bodi ya TRA imevunjwa wakati ambapo makusanyo ya kikodi yamepanda,
Pia ungeweza kuhoji ikiwa Kamishna Msaidizi Atafanya Kwa niaba ya Bodi au la,
Pengine,ungeweza kuuliza nafasi ya Naibu Kamishna imekuwa wazi Kwa zaidi ya mwaka je ina umuhimu wowote kuweko,ikizingatiwa pasi uwepo wake TRA imekuwa ikikusanya zaidi ya matarajio?
Lakini kuja na kudhani Pengine Mkuu kawaza hivi Mara vile ni kutafuta maneno ya vijiweni mkuu....
πππBado ufanisi wao ulikuwa haujafikia viwango vinavyokubalika.
Tusaidiane viwango vipi walipaswa kufikisha zaidi ya kusimamia utendaji wa TRA ili kuleta ufanisi wenye tija katika kukusanya Kodi?Bado ufanisi wao ulikuwa haujafikia viwango vinavyokubalika.
halafu huwezi kuipiga chini bodi kwa kukosa ufanisi ukamuacha kamishna mkuu wa TRA.Tusaidiane viwango vipi walipaswa kufikisha zaidi ya kusimamia utendaji wa TRA ili kuleta ufanisi wenye tija katika kukusanya Kodi?