Kwamba kamevaa mabomuKufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa.
Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua hali ya hewa ili wamvue uana hama hapo ndio atawavua nguo mwanzo mwisho.
Mpaka sasa kashajipanga liwalo na liwe
Hapa ushauri wangu kwa CCM wasimjibu chochote zaidi ya hapo wataharibu .
Huu ni msamiati mpya?kujiudhulu
Sasa nani mwenye busara ya kukaa kimya huko CCM.Kufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa.
Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua hali ya hewa ili wamvue uana hama hapo ndio atawavua nguo mwanzo mwisho.
Mpaka sasa kashajipanga liwalo na liwe
Hapa ushauri wangu kwa CCM wasimjibu chochote zaidi ya hapo wataharibu .
Acha wivu wewe tafuta chimbo ulambe asaliAmekataa wahuni, yaani chama kinataka kibaki na machawa watu smart hawawataki😆, chama nitajaa wambea tupu yaani
Kwenda zako huko dudukweeKitakacho tokea ccm haitaamini nawaambia
Hahaha....wanatuchosha tu na maigizo yaoKwamba kamevaa mabomu
Acha na sisi tuione, lete clipUongozi ni dhamana aisee Kuna clip wakati wa kampeni za magu 2020 bashiru/polepole alionekana anachukua mic Kwa nguvu kutoka Kwa kikwete akimwambia muda wake umeisha, duru zimewabadilikia ghafla
Kwa yaliyoandikwa tayari ni kuchafua hali ya hewaKufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa.