Mara nyingi raisi yeyote duniani kama hana imani thabiti kwa Mungu anayemuabudu,anakuwa na mahangaiko ya kulindwa na makomandoo wengi la vile vita imeishatokea,lakini kea upande wa raisi wetu SSH anaonekana kumtanguliza Mungu wake mbele zaidi kuliko kutegemea binadamu waliosheheni mitutu wakati ambapo wanaweza wanaweza kukugeuka saa yoyote mda wowote,rejea kifo cha aliyekuwa raisi wa zamani wa India mama Indira Ghandi.