Kuna Kitu Hakipo Sawa Kwenye Picha Hizi

Kuna Kitu Hakipo Sawa Kwenye Picha Hizi

Mi macho yangu yamenasa kwenye picha ya pili pale le prof amepiga magoti paleee kwenye pembe ya chumba! Aaahhh hio kitu inatisha wewe! Noumaaaa
 
It is obvoius.............huyo jamaa wa CCM analeta siasa msibani. Hata kama ana kolega mkononi lakini mikono yake haijakaa kama waomba dua
 
Naona kuna makabidhiano ya utawala, kwa kutumia mazishi.
Mmoja kaondoka , hivyo huyo dogo anaoneka ndie mtawala mpya, ana alama ya utawala mkuki. Halafu yupo peke yake... Hapo awakilisha utawala, huoni mtoto mwingine hapo. Na yeye si mtoto ni mtawala mpya.

Mengine ni kuashiria dini au madhehebu ya marehemu, upande wa Chama alichokuwa anakinasibu nk.

Kama lipo jingine , tujuze @ Amavubi
 
Katika hii picha ya kwanza naweza kuona yafuatayo:

  • Chifu amekuwa karibu sana na Rais.
  • Chifu amebeba mkuki (unaonekana kama ni 'real'??) wakati alitakiwa awe na mkuki 'toy' ( non-lethal).
  • Ijapokuwa mzingo wa usalama ni imara lakini yule 'detail leader' ameaangalia sana mbele kuliko kuangalia mkuki na 'movements' za Chifu.

Kwenye picha ya pili Rais inaonekana kama amejiweka kwenye 'vulnerable approach' ukitilia maanani
kuwa siyo rahisi kutambua kwa haraka 'reaction' ya mjane mwenye uchungu wa kufiwa.
'Just my observations...'
 
Ni kweli ila tusisahau ya kuwa JK nae ni Soldier.......
 
Huyo aliyefunikwa shuka ni maiti ama? Naomba kujuzwa
Mkuu, Huyo aliyejifunika ni mjane. FYI, napenda kukujuuza kuwa mke akifiwa na mume huingia katika hukumu ya '"Edaa"
haruhusiwi kuonana na Mwanaume yeyote (exeptional ya baba/kaka/wanawe/babu ndugu) kufiwa na msiba humpasa atulie kwa kujistiri vilivo.!! (hii ndo imani ya Kiislamu)
karibu sana kwa maelezo ya kimani.
 
Labda ambacho sio sawa ni mthungu kuchomoza kwenye msiba.
 
Huo mkuki umekamatiwa na hicho kilemba cha chifu motto! Labda iwe ngumu kuutumia kuleta madhara kwa mkuu!
 
Mkuu, Huyo aliyejifunika ni mjane. FYI, napenda kukujuuza kuwa mke akifiwa na mume huingia katika hukumu ya '"Edaa"
haruhusiwi kuonana na Mwanaume yeyote (exeptional ya baba/kaka/wanawe/babu ndugu) kufiwa na msiba humpasa atulie kwa kujistiri vilivo.!! (hii ndo imani ya Kiislamu)
karibu sana kwa maelezo ya kimani.

Asante sana mkuu kwa maelezo yako nimekuelewa vizuri
 
It is obvoius.............huyo jamaa wa CCM analeta siasa msibani. Hata kama ana kolega mkononi lakini mikono yake haijakaa kama waomba dua
Kungekuwa na LIKE nyingi ningekupa bowlibo
 
Rais hana mipaka
Mkuu, Huyo aliyejifunika ni mjane. FYI, napenda kukujuuza kuwa mke akifiwa na mume huingia katika hukumu ya '"Edaa"
haruhusiwi kuonana na Mwanaume yeyote (exeptional ya baba/kaka/wanawe/babu ndugu) kufiwa na msiba humpasa atulie kwa kujistiri vilivo.!! (hii ndo imani ya Kiislamu)
karibu sana kwa maelezo ya kimani.
 
endeleeni kuna kitu hakipo sawa
 
Huyu marehemu si ndio yule aliyeisaliti CHADEMA wakati wa byelection ya marehemu waziri wa fedha kule Karenga? Mungu ameona afadhali awahi kupata mshahara wake !!
una hasira mbaya sana
 
ambacho sio cha kawaida

ni jk hajacheka hapo kaficha meno
 
Back
Top Bottom