Kuna Kitu Hakipo Sawa Kwenye Picha Hizi

Kuna Kitu Hakipo Sawa Kwenye Picha Hizi

Rais hana mipaka
Mkuu Amavubi, Hiyo kapewa heshima ya kuwa Mkuu wa nchi tu !!! Lakini kisheria na kihukumu hairuhusiwi kuingingia chumbani kwa mjane, sembuse katikati ya jopo la wanawake wasiyo kuwa na self control !! (maana ndani ya kilio baadhi ya Wanawake hupoteza fahamu na kujiacha vibaya,kuchana nguo zao, nk... kwa uchungu na kilio) !!
 
Katika hii picha ya kwanza naweza kuona yafuatayo:

  • Chifu amekuwa karibu sana na Rais.
  • Chifu amebeba mkuki (unaonekana kama ni 'real'??) wakati alitakiwa awe na mkuki 'toy' ( non-lethal).
  • Ijapokuwa mzingo wa usalama ni imara lakini yule 'detail leader' ameaangalia sana mbele kuliko kuangalia mkuki na 'movements' za Chifu.

Kwenye picha ya pili Rais inaonekana kama amejiweka kwenye 'vulnerable approach' ukitilia maanani
kuwa siyo rahisi kutambua kwa haraka 'reaction' ya mjane mwenye uchungu wa kufiwa.
'Just my observations...'

nimekuelewa mkuu... Kwakweli usalama wa rais ulipaswa kuhakikisha kuwa hakuna mtu mwenye silaha (mkuki) anakaa karibu na rais kwa usalama wake. Pia kitendo cha kumuinamia mjane si salama kwa rais... Kama ulivosema mjane kajitanda na huwez jua kabeba silaha gani. Je hawa usalama hawezi kudhani mambo kama haya yanaweza kutumika kama mtego na rais na akashambuliwa kiurahisi? Rais hana sababu ya kwenda kumuinamia mjane.. Uwepo wake tu pale kila mtu anatambua kuwa yupo.
 
Mkuu Amavubi, Hiyo kapewa heshima ya kuwa Mkuu wa nchi tu !!! Lakini kisheria na kihukumu hairuhusiwi kuingingia chumbani kwa mjane, sembuse katikati ya jopo la wanawake wasiyo kuwa na self control !! (maana ndani ya kilio baadhi ya Wanawake hupoteza fahamu na kujiacha vibaya,kuchana nguo zao, nk... kwa uchungu na kilio) !!
nilikua nachokoza mada Mkuu Zamiluni Zamiluni
 
Anaweza akarukwa dakika yyt huyo mwenye mkuki

Back
Top Bottom