PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,313
Hapo kwenye neno la kiimani binafsi tungekosana [emoji28]Huduma ? Huenda wewe ndio una mawazo potofu labda huduma ya kuletewa kinywaji chumbani..., In short hapo hakuna ushahidi kama huduma aliyosema ndio unayodhani...
Hata kama aliendelea kuelezea huduma nyingine huenda alikuwa kwenye kufanya research ya wageni wapenda huduma...., na ungekubali angekupiga neno la Kiimani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huduma alimaanisha either chakula, vinywaji nk.
Sasa wewe ulivyo na akili imejaa ngono ushaanza kuwasingizia mabinti wa Dar[emoji51]
Unataka uende huko?.Achana na vyote, hiyo lodge inatwaje na ipo wapi wengine wakajisevie?
Zee korofi,hukumvutia ndani kweli?Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!
Kama siyo umbea, haya toa jina la lodge hiyo.Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!
Huduma alimaanisha either chakula, vinywaji nk.
Sasa wewe ulivyo na akili imejaa mawazo ya ngono ushaanza kuwasingizia mabinti wa Dar[emoji51]
Juzi vijana wa wa Ifm waliwa wakilisha wanaume wa Dar mpk wakajirekodi.Huyo hawezi kuwa mwanaume wa Dar ndiyo maana alifikia Lodge baada ya kutoka mkoani....wa mikoani washamba sana nyie
Mby wap mkuuHizi hata dodoma zipo na mbeya pia
Mama anaupiga mwingi kakaWanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!
Pita kwenye loge zenyewe wanauza na pombeMby wap mkuu
Tupia dmJuzi vijana wa wa Ifm waliwa wakilisha wanaume wa Dar mpk wakajirekodi.