Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,440
Achana na vyote, hiyo lodge inatwaje na ipo wapi wengine wakajisevie?Wanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!!!!
Achana na vyote, hiyo lodge inatwaje na ipo wapi wengine wakajisevie?
Hii imenikuta. Huduma ya chakula huwa unaambiwa kabisa, vinywaj huwa unaambiwa kabisa kutoka reception.Huduma alimaanisha either chakula, vinywaji nk.
Sasa wewe ulivyo na akili imejaa ngono ushaanza kuwasingizia mabinti wa Dar[emoji51]
Mbona huwa hawasemi wazi?Hii imenikuta. Huduma ya chakula huwa unaambiwa kabisa, vinywaj huwa unaambiwa kabisa kutoka reception.
Zaid ya hapo nyingine ni sex na hili suala lipo
Suala ni kuwa ile ni lodge sio danguroKuna jamaa aliwahi kusema hapa hapa JF kuwa
"Kuna watu mnachelewa sana kuzifahamu dhambi"
Pole sana.
Depends na lodge unayofikia. Si zoteMbona huwa hawasemi wazi?
Huu ni uongoWanazuoni mu hali gani? Kuna kitu naona kama hakipo sawa hapa Dar, kuna siku nilikwenda lodge fulani kati kati ya jiji, nilikuwa nataka kupumzika kwani nilikuwa na uchovu.
Ila nilipokamilisha taratibu na kukabidhiwa chumba, nikiwa nimepumzika chumbani, nikasikia hodi ikipigwa, nikafungua ila nikakutana na msichana(ni mrembo kiasi mwenye kalio kubwa mweusi), akaniuliza kama nitahitaji huduma.
Kiukweli nilishangaa kwani ile ni lodge, nikajiuliza kumbe mambo ndio haya yanayofanyika humu kwenye lodges hapa mjini? Kwa nini mameneja msiweke wazi sasa kuliko kufanya siri?
Niwe mkweli nilivutiwa naye ila niliogopa kwani sikuzoea hali hii, pia nilishangaa lodges kuwa machimbo ya hawa sex workers, ndipo tulipofikia.!!!!
Huyo hawezi kuwa mwanaume wa Dar ndiyo maana alifikia Lodge baada ya kutoka mkoani....wa mikoani washamba sana nyieMwanaume wa Dar analia Lia baada ya kuletewa mbunye.
Wa mkoani huku tunawanyonya tu.