Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Niliyajua haya pale Heche alipomaliza muda wake.Bavicha kama youth wing imedorora sana,hamna mshikemshike kama uliokuwepo a wali.All in all,niliyatabiri haya.So I'm not surprised at all.

A lady Upendo Furaha Peneza would have fitted for this job.....Tumepoteza sana kwa yule Patrobas kuchukua hii Youth Wing
 
Last edited by a moderator:
Patrobas anakera...Enzi hizi zinatakiwa kuwa na BAVICHA vibrant

Heche aliiweza nafasi hii

This guy is a disgrace

Heche ni kiongozi na mwana harakati. Katambi ni kiongozi, hana traits za kiharakati
 
Ukitaka kudhibitisha wewe ni kibaraka na umetumwa na lumumba ni kwamba hujui tofauti ya Bavicha na Bawacha!!Mtaweweseka sana mwaka Huu magamba!!
kweli bavicha tuna kazi na hapa ndipo tunapoelewa kuna baadhi ua wanachama mi mizigo na wanapenda kupalilia matatizo.
 
Heche ni kiongozi na mwana harakati. Katambi ni kiongozi, hana traits za kiharakati

Quick Question; Do you see BAVICHA as an institution being Vibrant?

Especially during this period towards the October Genral Elections?
 

Chadema haijawahi na haitaa icheze ngoma za kipropaganda za ccm! That will never happen.
 
Unajielewa kweli wewe? au una hangover?

A serious CHADEMA Cadre can not act stupidly like you.

Wanachama wa chadema wanafahamu taratibu za kupeleka mawazo yao kwenye chama. Nyie wengine ni either hamfahamu au ni walewale!
 
Chadema wako imara sana kuliko unavyoweza kufikiri, tulia tu utaona

 
Huyu Mwenyekiti BAVICHA hata tofauti na Mwenyekiti wa Uvccm.....jamaa uwezo mdogo sana hata sijui alipataje huo uenyekiti...ila makamu wake yupo vizuri sana na ana uwezo mkubwa sana na ni mpambanaji....Mkuu PISTO LERO heshima kwako ushauri mzuri wahusika waufanyie kazi
 
Kwa hio CHADEMA mtapigiwa kura na wanachama wenu tu wenye kadi?

Kwa hio kura za wasio wanachama wenu hamzitaki?

Wewe una matatizo tena sio madogo...na yako Upstairs

I seriously doubt if this Chademakwanza is Ok upstairs, kila siku huwa tunasikia watanzania wenye kadi za vyama hawafiki hata millioni 15 na chama chenye wanachama wengi zaidi ni CCM wanachama millioni 5 tu kati ya watanzania millioni 45. Kwa akili ya huyu anayejiita Chademakwanza CCM inatakiwa kupata kura zisizozidi millioni 5,sijui ana elimu gani huyu jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…