Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Ni sawa tunataka kwa dhati kabisa kuiondoa ccm.BAVICHA ilishawekewa msingi mzuri kusaidia harakati za kuiondoa ccm.Mchango wake ndio tunaoulilia kwa umuhimu wake.
Vijana wengi wamehamasika sana,hivyo wanamhitaji kamanda shupavu wa kuwaongoza.
Subiri kwanza tumuondoe ccm
 

Kwa sisi tunaojua kazi zake niwatendaji bora sana
 
Kama unasema hujui katiba ndio tunakujuza sasa kuna namna yakuwasilisha hatufanyi kazi zetu ki ccm

Wewe sijui ni mgumu kuelewa ...sijui ni ulevi tu...sijui ni uropokaji....sipati jibu

Ila in short...Kama Patrobas angekuwa anafanya kazi yake ipasavyo....Lawama hizi za mara kwa mara zisingetokea
 
Wewe sijui ni mgumu kuelewa ...sijui ni ulevi tu...sijui ni uropokaji....sipati jibu

Ila in short...Kama Patrobas angekuwa anafanya kazi yake ipasavyo....Lawama hizi za mara kwa mara zisingetokea
Kazi anazofanya zimetukuka
 
CCM wamejipanga kimkakati kumshambulia M/kiti wa Bavicha. Naona wameanza kumwogopa, sasa ni mwendo wa kuanzisha thread! Poleni sana maana hata hili nalo mtashindwa!
Nivigumu kumuchafua mkuu kwani akuna kijana yeyote wa chama chochote ane sikika akifany arakati unajua watu wana chukulia siasa nikitu rahisi mbona hawaulizi vijana wa vyama vingine wako wap?
 
Nimenukuu katiba ya chadema inayotuongoza, kama kila mtu akisimama kwa nafasi yake chama kitasonga mbele, Chadema sasa hivi inafanya kazi kitaasis badala ya kiharakati.

 
Ni wengi tunao ona ombwe la uongozi BAVICHA.Wengine ni wanachama na wengine wapenzi na wanamageuzi.
Huku tukijitahidi kutimiza wajibu wetu,tunaona pale juu kuna mtu kalala.Ni ubaya kumwamsha au kumtoa nje akapunge upepo ili mwingine aje afanye ule wajibu?
Hii si tu kwa ajili ya BAVICHA bali CHADEMA na taifa.
Tumeichoka ccm ndio maana hatutaki kuona mtu mzembemzembe.
 
Niliyajua haya pale Heche alipomaliza muda wake.Bavicha kama youth wing imedorora sana,hamna mshikemshike kama uliokuwepo a wali.All in all,niliyatabiri haya.So I'm not surprised at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…