Hilo ni janga tena kuna kituo flani kama wimbo wako ni mpya ikiwa hujaenda kuutambulisha katika kipindi chao cha mchana kupigwa radion labda kama muziki wako uwe juu tu basi hapo hawana jinsi otherwise wanakunjia baharini
Kama hawa kina Kilimanjaro award ndio bomu kabisa mfano Lady Jaydee alikuwa kwenye kundi la mwanamuziki bora wa kike (wa ujumla) na Diamond alikuwa mwanamuzii wa kiume (wa ujumla) alafu huku chini kwenye category zingine hayupo, sasa utakuaje mshindi wa jumla huku hujaingiza wimbo bora labda wa mwaka, etc