UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 172
neno "mshenzi" ni neno la kawaida likimaanisha mtu ambae hakustaarabika. Sio tusi by its nature, kasome tena, sishangai kiswahili ni cha zanzibar.
sishangai kwa majibu yako. asante
neno "mshenzi" ni neno la kawaida likimaanisha mtu ambae hakustaarabika. Sio tusi by its nature, kasome tena, sishangai kiswahili ni cha zanzibar.
Wazanzibar wasitulazimishe kufuata hoja yao ya muungano wa mkataba. Sisi tunataka nchi moja serikali moja au tuvunje muungano. Let zanzibar go.
kama hujui sovereign partner states ndani ya muungano kasome aina mbali mbali za miungano duniani. Sisi wazanzibari si washenzi hatujui kutukana, matusi si jadi yetu.
Scotland imo katika Muungano wa United Kingdom...lakini scotland wako na Serikali yao huru inayoweza kufanya mambo yake wenyewe ndani na nje ya Scotland na ina wabunge pia wanaoiwakilisha scotland ndani ya House of Common UK Parliment, wako na Central Bank yao, wako na pesa yao vile vile wanakuwemo katika FIFA World Cup as Sotland team.
WA TANGANYIKA TUWACHE UJAMBAZI WA KUIWEKEA UBAVU ZANZIBAR SIO KITU KIZURI TUWAACHENI NA WAO WAFANYE MAMBO YAO KIVYAO KATIKA NCHI YAO....HATA MOLA MUNGU ANAJUA KAMA TUNAWAFANYIA FAUL WAZANZIBARI:hat:
kama hujui sovereign partner states ndani ya muungano kasome aina mbali mbali za miungano duniani. Sisi wazanzibari si washenzi hatujui kutukana, matusi si jadi yetu.
Takwimu kamili za mwendelezo wa zoezi la utowaji maoni Kaskazini Unguja na Kaskazini Pemba.
MAONI KASKAZINI UNGUJA | Mzalendo.net
MAONI KASKAZINI PEMBA | Mzalendo.net
Zaznzibar kwanza!!!!!..........Muungano baadae!!!!!!
Tanganyika hatufaidiki chochote na Muungano zaidi ya kero za kutuita Wakoloni weusi.
Tuvunje tu muungano na hata hizo aina nyingine za muungano hatuzihitaji. Wawe jirani zetu kama Msumbiji, Kenya etc.
Lakini Wazanzibar wote wenye ajira kwenye serikali ya muungano watuachie ajira zetu warudi kwao, wakiwemo makamu wa rais, wabunge, mawaziri na maafisa wa serikali.
Karume: Muungano ni kama koti likitubana tunavua.
CCM Kisonge: Tunataka tukohoe ndani ya Muungano.
Mwanasheria mkuu Zanzibar: Lazima Zanzibar tutoke katika boksi la Muungano. Tulijenga nyumba pamoja haiwezekani tukae bomani.
Waziri Mansoor Yussuf Himid (CCM): Kwa muundo huu wa Muungano nasema "seebuu"
Mzee Moyo (Muasisi): Nasema muundo ninaouwafiki sasa na muundo wa muungano wa MKATABA wa kuirejeshea Zanzibar Sovereignity yake. Muundo wa serikali mbili uliopo umepitiwa na wakati.
Amani Karume: Vijana speed iwe hiyo hiyo (daini sovereignity ya Zanzibar) lakini mkikuta cross punguzeni kidogo