Kuna kila sababu ya kurejesha jamhuri ya zanzibar (sovereign zanzibar) ndani ya muungano

wasubiri kwanza na sisi tuwe na serikali ya Tanganyika kwanza kama wao walivyo na serikali ya zanzibar then ndio tukae mezani...
 
naona wengi wanataka muungano wa mkataba ingawa sijui vizuri aina hii ya muungano ni bora tukubaliane tuwe na serikali 3 tu (TANGANYKA, MUUNGANO, ZANZIBAR) otherwise kila upande ujiendeshe kivyake .
 
Wazanzibar wasitulazimishe kufuata hoja yao ya muungano wa mkataba. Sisi tunataka nchi moja serikali moja au tuvunje muungano. Let zanzibar go.
 
Wazanzibar wasitulazimishe kufuata hoja yao ya muungano wa mkataba. Sisi tunataka nchi moja serikali moja au tuvunje muungano. Let zanzibar go.

Nahic hilo wazo lako limecherewa lakini jitahidi bado z'bar viwanja vipo njoo ujenge kanisa
 
Scotland imo katika Muungano wa United Kingdom...lakini scotland wako na Serikali yao huru inayoweza kufanya mambo yake wenyewe ndani na nje ya Scotland na ina wabunge pia wanaoiwakilisha scotland ndani ya House of Common UK Parliment, wako na Central Bank yao, wako na pesa yao vile vile wanakuwemo katika FIFA World Cup as Sotland team.
images
images


WA TANGANYIKA TUWACHE UJAMBAZI WA KUIWEKEA UBAVU ZANZIBAR SIO KITU KIZURI TUWAACHENI NA WAO WAFANYE MAMBO YAO KIVYAO KATIKA NCHI YAO....HATA MOLA MUNGU ANAJUA KAMA TUNAWAFANYIA FAUL WAZANZIBARI:hat:

Tanganyika hatufaidiki chochote na Muungano zaidi ya kero za kutuita Wakoloni weusi.

Tuvunje tu muungano na hata hizo aina nyingine za muungano hatuzihitaji. Wawe jirani zetu kama Msumbiji, Kenya etc.

Lakini Wazanzibar wote wenye ajira kwenye serikali ya muungano watuachie ajira zetu warudi kwao, wakiwemo makamu wa rais, wabunge, mawaziri na maafisa wa serikali.
 
Wazanzibar nao wamezidi kujishaua kila siku uhuru uhuru kwani wanahitaji tuwasaidie nini ili wajitangaze kuwa wako huru? Si waondoke hawa vp au ghahawa inawalevya wasijue jinsi ya kupata uhuru?
 
kama hujui sovereign partner states ndani ya muungano kasome aina mbali mbali za miungano duniani. Sisi wazanzibari si washenzi hatujui kutukana, matusi si jadi yetu.

Mnapenda choko choko sana nyie, Kulia lia utafikiri......

Kubebwa tuwabebe na bado mnalialia utafikiri......

Ngoja tuwaache waarabu waje wawatawale, naona mmechoka kutawaliwa na weusi wenzenu.
 
Tanganyika hatufaidiki chochote na Muungano zaidi ya kero za kutuita Wakoloni weusi.

Tuvunje tu muungano na hata hizo aina nyingine za muungano hatuzihitaji. Wawe jirani zetu kama Msumbiji, Kenya etc.

Lakini Wazanzibar wote wenye ajira kwenye serikali ya muungano watuachie ajira zetu warudi kwao, wakiwemo makamu wa rais, wabunge, mawaziri na maafisa wa serikali.

Haki ya nani hii mijamaa itajuta maana maduka ya pwani mengi ni ya "MPEMBA" wapo wengi kwetu kuliko kwao.

Watajutia muungano. Hivi vyuo vikuu wanavyo vingapi hawa?
 
Wenye kuhangaika ni wao Wapemba na Ungunja! Wanatubania hata HEWA HAPA MBEYA, wamejaa kila kona. Wameanza kuleta UAMSHO hatuwataki na Muungano hatuutaki vile vile.
 
Karume: Muungano ni kama koti likitubana tunavua.
CCM Kisonge: Tunataka tukohoe ndani ya Muungano.
Mwanasheria mkuu Zanzibar: Lazima Zanzibar tutoke katika boksi la Muungano. Tulijenga nyumba pamoja haiwezekani tukae bomani.
Waziri Mansoor Yussuf Himid (CCM): Kwa muundo huu wa Muungano nasema "seebuu"
Mzee Moyo (Muasisi): Nasema muundo ninaouwafiki sasa na muundo wa muungano wa MKATABA wa kuirejeshea Zanzibar Sovereignity yake. Muundo wa serikali mbili uliopo umepitiwa na wakati.
Amani Karume: Vijana speed iwe hiyo hiyo (daini sovereignity ya Zanzibar) lakini mkikuta cross punguzeni kidogo

Ndio maana wa zanzibar mnaambiwa msome,muungano uliopo ni union au federation?,hii ni federation au shirikisho jamani,kuhusu zanzibar kuwe na mamlaka yake wayapate mara ngapi sasa? zanzibar wanaruhusiwa kupewa misaada na nchi yoyote ile duniani na bila misaada hiyo kupitia bara kama mnamarafiki nje mbona hamuwaombi jamani kila siku mnasema tunawabana kivipi?mnasema tunawabana wakati bado mko bara umeme mnatumia wa bara mchele wabara kivipi nyinyi wapemba mnamatatizo sana.
Zanzibar ni nchi ndogo haijitoshelezi kabisa hata makampuni ya simu tu hayawezi kuja zanzibar sababu watu kidogo yanapata hasara,tukumbuke kuwa wazanzibari wana ncchi yao na kilichowafanya wazanzibar wapatao 500,000 kuja kujenga bara ni huu huu muungano,basi wajue muungano ukivunjika na chao hakipo huku bara wote 500,000 tunawarudisha kwao zenji,sababu tukiwaacha maana yake ni kwamba watakuwa wanafaidi matunda ya muungano wakati hakuna muungano ni lazima warudi kwao nyumba zao wauze au zichukuliwe na NHC na watakaokuwa wafanyabiashara walipe kodi kama wawekezaji wengine wa kenya na marekani wanavyolipa kodi na wakija kwetu waje na paspoti hivyo hivyo sisi tukienda kwao.
Wazanzibar kuweni na shukrani hivi hako kakisiwa kenu kadogo kenye urefu wa km 85 north-south,30 km wide,mnafikiri ndani ya miaka kumi tukitengana mtakaa kwa amani jamani hao watu tutakao warudisha ni wengi sana kisiwa kitajaa sana hamtakuwa na sehemu ya kulimia,mtakuwa mmeruka maji na kukanyaga moto itawabidi tuwe tunawarisha kwa kila kitu.
Kitu kimoja muelewe ni kwamba wazanzibar wote ni wachache kukuta asili yao ni kenya au uganda,asilimia kubwa asili yao ni tanzania na msumbiji,sasa hao waarabu mnaotaka kujihusisha nao mbona ni wabaguzi sana jamani?Niambieni waznzbr wangapi weusi wasio waarabu leo hii hii wanaweza kuoa binti wa kiarabu jibu na hakuna na hata huko urabuni Oman na Emirate siku hizi hata watumishi wandani waafrika hawawataki wanachukua toka India na Asia lakini sio mwafrika wasije kuhafua damu zao.
Kuna ndugu yangu mimi mwarabu wa tanzania hii alikwenda kufanya kazi Qatar,wale jamaa waarabu wa kule kwanza walimkataa wakasema wewe si mwarabu sababu umezaliwa Afrika kwa weusi wanambagua na kumdharau kama wanavyombagu mwafrika tu japo ukimwona ni mwarabu kabisa asiye na shaka.sasa nyinyi leo mnaweka noti hapo za sultani yaani kama vile ni fahari ni utumwa huo wa akili tu kudhania kwamba wewe kutawaliwa na mwarabu kunakupa tiketi wewe ya kuwa mwarabu!!,Nyie mtakuwa watumwa tu katika nchi ya kiarabu ingawa nyinyi ni mnchi yenu lakini mtakuwa watumwa siku mwarabu akitawala,kwa ubaguzi wa mwarabu hawezi kukubali kuwa sawa na nyie watu weusi hata kama babu yako alikuwa mwarabu midhali una damu ya mwafrika we ni mwafrika tu.
Nendeni Yemeni muone waarabu ni washenzi kiasi gani ndo mpate akili,huko kuna watu wa asili inasadikika walitoka Afrika wakachanganyka kidogo na waarabu,lakini kusema kweli laiti kama watu hao wanaoitwa AKHDAM wangeletwa Zanzibar basi kila mtu angewaita waarabu,laikini pamoja na kuwa kama waarabu kwa sasa na hawafanani tena na waafrika bado wanabaguliwa na kunyanyaswa waitwa watumwa hawaruhusiwi kufanya kazi yeyote ile ya hadhi,akiuliwa hakuna kesi itakayofunguliwa kuchunguza kifo chao.
Sasa kama hao ambao wapo karibu na waarabu wanabaguliwa ijekuwa wewe mzanzibar kufikiria kuwa karibu na oman na nyinyi mnakuwa waarabu,hiyo ni kichekesho kusema sisi wabara tukijifanya kuwa karibu na wajerumani au waingereza basi na sisi tutakuwa wazungu kisa tunatawaliwa na wazungu uturuki iko wapi hadi leo kutaka kujifanya wazungu?
Nyinyi wazanzibar mjitazame sana tena kama ulituma hii posti ukiwa bara inabidi uoneshe mfano wa kurudi kwenu ndio uanze kutuma tokea huko,na kama uko zenji na kila mwezi hujiskii raha bila kuja Bara basi jifunze mwaka mzima usije huku bara uanze kujizoesha kabisa kabla hatuja tengana.
Mnasema mnataka muungano wa mkataba kama wa EAC kitu kimoja mkielewe ni kwamba hakuna mkenya,mnyarwanda wala mganda anayeruhusiwa kuja kujenga tanzania wala mtanzania anayeruhusiwa kujenga katika nchi hizo ni wazi kabisa muungano wa mkataba ukipitishwa kati ya zanziba na bara wazanzibar zaidi ya 500,000 wanaoishi huku inabidi waziachie nyumba zao kwa wabara either waziuze au zichukuliwe na NHC.
Kuweni na akili nyinyi inabidi msome muone jinsi gani zanzibar ilivyokuwa katika hali mbaya,msione viongozi wenu wapo kimya mkaanza kuwaona kama vile ni wajinga wanaakili ndo mana wako kimya wameshaona mbali.
Rwanda kila siku mchakato wa EAC uharakishwe sabab kagame kashaona nchi yake ina tatizo la watu aanatamani tuungane haraka ili awapunguzie watu wake tanzania kabla hajampindua na zanzibar haina tofauti na rwanda ina tatizo hilohilo.na pindi ikijitenga hata wawekezaji hawawezi kwenda sababu watu wachache hivyo soko lao ni dogo.
MSIMAMO WETU NI KWAMBA SISI WATU WA BARA TUNATAKA MUUNGANO HUU HUU ULIOPO UENDELEE NA SEHEMU YEYOTE ILE YENYE KERO IREKEBISHWE KAMA WAZANZIBAR HAWAUTAKI WAJIANDAE KUTENGANA MUUNGANO WA SERKALI TATU HATUUTAKI HAKUNA WA KUULIPIA GHARAMA ZAKE KAMA MAFUTA NA SISI TUNAYO KAMA GESI TUNAYO NA NI MOJA YA NCHI ZINAZOONGOZA KWA WINGI WA GESI DUNIANI.....BULLSHIIIIT!!!!NYAMAFU NYIE.
 
Back
Top Bottom