Kuna kila dalili za Lembeli kurudi CCM!

Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!

Wewe ndiye mbabaishaji unashindwa kutambua hata wazazi wako na ukiwacha wanateseka pa kulala pabovu uko busy na
Lowasa
 
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
Achana na nyumba ya watu, wewe jenga ya kwako!!
 
tatizo lowasa anawanyima usinginzi nyie mnaochukia ufisadi mbona Kuna wengine wametuhumiwa kwenye Escrow na bado ni viongozi kwenye serikali inayojinasibu haitaki ufisadi acheni useng
 
Back
Top Bottom