Kuna kila dalili za Lembeli kurudi CCM!

Kuna kila dalili za Lembeli kurudi CCM!

Lembeli hana mawazo membamba kama yako ,yy ni MTU mzm na anajua kuutumia ubongo wake vizuri,kwani wangapiCdm ni wanachama na si viongozi? Mtoa Maada unatakiwa maombi!
 
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
Mbona si issue km dalili za ndoto na maono ya manabii kuwa kweli.
 
Lembeli haiwezi hii CHADEMA ya matapeli na wapiga deal!CHADEMA ya ukweli niliyo ipigania iliondoka na Dr Slaa
 
Lembeli hawezi kurudi huko kushiriki laana ya kula rambi rambi.
Lkn Atakaa meza moja na hawa waliovuta mpunga mnene toka kwa Lowassa wamfukuze Dr Slaa?
Kila mtu anakula kwa nafasi yake
Hawa wanakula rambi rambi na wengine wanakula za Lowassa
Dr Slaa na yy akaona isiwe taabu akala za CCM
Upinzani TZ hovyo sana aisee!!
Heri tu CCM waendelee
 
Kwanini mnapenda kutumia neno "ufisadi" hata mahali lisipohitajika? Lembeli na Lowassa nani alitangulia Chadema? Btw hebu tuonyeshe mpinga ufisadi mmoja tu ili tukuelewe, ila usijitaje wewe maana hujapata fursa ya kula!

Kumbe hata hujui kati ya Lembeni na Lowassa ni yupi alitangulia kuondoka CCM na kujiunga CHADEMA? Huna sifa ya ku-comment kwenye hii thread!!
 
Acha utahira ww ..Lowassa na Lembeli nani katangulia kujiunga na chadema ...wadanganye mapimbi wenzio wa lumumba ...kama anarudi ccm kipi cha ajabu?? Tuko imara kuliko chama chako chakavu ambacho kinapumlia mipira ya polisi ...chadema hata aondoke nani hatuwezi kuyumba ..sisi ni raia wakakamavu ..hutuwezi kuyumbishwa na upepo...achana na propaganda uchwara fisiem ww

Sasa naona umeishiwa. Kutukana ni kudhihirisha kichwani kumepwaya. Kwa uhakika Lowassa angetangulia kununua CHADEMA huyu mzee Lembeni kamwe asingejiunga na CHADEMA.
 
Katazo la mikutano zuri saana.
Hakuna haja ya kampeni kwenye chaguzi ndogo
wasimamimizi waaminifu waweko ili tuone nani dume...wao ay sisi...
 
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!

Tofauti yake na hao waliopewa nafasi ni kwamba wale wanayo hela yeye hana pili wale wanatokea upande kasikazini mwa Tanzania yeye anatokea kahama
 
Kumbe hata hujui kati ya Lembeni na Lowassa ni yupi alitangulia kuondoka CCM na kujiunga CHADEMA? Huna sifa ya ku-comment kwenye hii thread!!
Ungekuwa unaufahamu vizuri mchezo wa siasa za uchaguzi mkuu mwaka jana usingeniondolea sifa ya ku-comment thread hii kwa kuwa tu nimeuliza swali hilo. Lembeli alijiunga Chadema tarehe 21 Julai, mwaka jana na tarehe 28 Julai Lowasa alitangazwa kujiunga Chadema (Ukawa?). Sasa ungejiongeza kidogo ungefahamu kuwa Lowasa alijiunga Chadema kabla ya kutangazwa kujiunga. Inajulikana wazi kuwa Lembeli alienda Chadema akitegemea pia nguvu ya Lowasa ingemsaidia baada ya kuwa amekatwa kule CCM. sasa kabla ya kuniondolea sifa za ku-comment uzi huu, rudi kwanza kalifanyie kazi suala hili badala ya kubaki na uelewa mdogo wa kusimamia tarehe ambazo watu hao walitangazwa kujiunga Chadema!
 
Licha ya kuwa na uzoefu na uzalendo wa kweli huyu mzee hajapewa nafasi ujumbe kamati kuu kama za kina E. Lowassa na F. Sumaye. Angekuja huku angemchalenji sana Mbowe hatimaye tungepata CHADEMA imara sana. Hawezi vumilia ubabaishaji uliopo CHADEMA!
1/4 ya ule utafiti
 
Lembeli haiwezi hii CHADEMA ya matapeli na wapiga deal!CHADEMA ya ukweli niliyo ipigania iliondoka na Dr Slaa
Kwahiyo anaweza tu kuishi kule wanako dhulumu rambi rambi ?? Alafu malafyale ww ndo chanzo cha mwamanyaki kuukosa ubunge hapo kyela ...toka uhamie Act wasaliti umekuwa tapeli kuliko hao wadhulumu rambi rambi ...teh teh teh teh
 
Mm siwezi kuondoka CHADEMA niliyo ijenga ka mikono yangu
Hakika Lowassa tutamfukuza
Leo kaonga kitu cha aibu sana huyu Lowassa
Anamsifia Rais Magufuli kupiga marufuku mikutano ya kisiasa
Huyu ni pandikizi
 
Sio mbaya ataungana na wale ng' ombe wengine wasio na mkia zizini!!!
 
Back
Top Bottom