Kuna kila dalili Korea kaskazini kuvamiwa kijeshi!

japan na south korea wamekosa nini hadi wabaki majivu? na dunia imesimama pembeni inaangalia tu? yaani marekani apigane na north korea halafu north korea aipige japan na south korea ambao wametulia tuliii....unazijua principles za vita wewe? halafu, ukitaja kitu inaitwa japan, usifikiri ni nchi ya kuonewa huruma sanaaa, hata south korea, wako vizuri tu kijeshi, wakiungana wote hao na marekani, north korea atasambaratika hadi hataamini. sema tu woga wao ni kwamba uchumi wa nchi zao utaporomoka sana, na mijengo yao itatikisika kutokana na vishindo etc, na pia japan waoga wa nuke sana kwasababu yalishawakuta. lakini tz ipigane na kinya halafu kenya kwa kulipiza wakaipige uganda ati kwasababu uganda ni rafiki wa tz, katika principles za vita hiyo haipo, na ikitokea mtu akafanya hivyo ujue dunia nzima itasimama upande wa anayeonewa na watawekewa vikwazo vya kueleweka na wataweza hata kuivamia kwa pamoja. labda kama kim haogopi kufa na haogopi kupoteza yoote ambayo familia yake imejenga tangu enzi za mababu zake.
I hope you are still typing. Maana nimetafuta logic kwenye comment yako lakini nimeshindwa kuiona.
 
it is necessary kwa dunia kuivamia north korea kwa kipindi hiki, kwasababu wanaishi kisiwa chao tu dha dunia, hakuna dini (no ukristo, no uislam, nothing nothing), watu wameshikwa akili na mtu mmoja tu, hakuna uhuru wa kuongea, ni unyanyasaji mkubwa sana wa akili, wanaishi mle ndani kama mifugo tu ya kim. anaweza kuwafanya chochote. marekani inatakiwa iwachape kisawasawa na iweke utamaduni mwingine watu wawe wanaamini yupo Mungu, wasali/waswali etc. Mungu mwenyewe anapenda north korea ibadilike, ule utamaduni wa kishetani na kipumbavuu uishe.
Mkuu wewe upo North Korea nn....hizo habari zote unazipata wapi?Vyombo vya habari vya magharibi haviwezi kuongea kitu chema kuhusu hao jamaa na hata mitandao yote...inamlengo wa kinagharibi......tafuta balance ya hizo taarifa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NK haiwezi kupewa masaa ya kupigwa Kama Sadam.Ina nukes.Itakuwa pre emptive strike.Vita ya Dakika 5 vinu ,mitambo,kambi za jeshi zitakuwa hazipo Tena NK.
Hakuna vita yoyote itakayotokea baina ya Marekani na Korea Kaskazini.

Hakuna.

Hakuna.

Hakuna.
 
Nimependa statement yako Mmarekani anatakiwa kukaa kimya yeye mabomu anayo yamiliki nani amesha mfuatilia kwa nn afuatilie wenzake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani hawezi kukaa kimya kwenye huu mgogoro...Kim katamka waziwazi kabisa wala hapindishi kwamba atailipua US kwa Nuclear...na mbaya zaidi anafanya na vitendo kabisa.....marekani lazima ahangaike....yaani US kuruhusu NK kuwa na Nuclear ni sawasawa na Muisrael kuruhusu Iran kuwa na Nuclear....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa itavamiwa but to the expense of South Korea and Japan civilians who might get obliterated by DPRK missiles counter strikes. This is a ridiculous and uncalculated move by Gen Mattis. Mgogoro huu umedumu kwa miaka zaidi ya 50, watu wenye busara wengi tu hawakujaribu kulianzisha huko nyuma so ukawa freezed. Kumbuka there has never been a peace treaty between the two Koreans, technically they are still at war and this one will be much deadlier.
usirudie kutumia lugha ambayo hata mtukufu wetu aipendi
 
it is necessary kwa dunia kuivamia north korea kwa kipindi hiki, kwasababu wanaishi kisiwa chao tu dha dunia, hakuna dini (no ukristo, no uislam, nothing nothing), watu wameshikwa akili na mtu mmoja tu, hakuna uhuru wa kuongea, ni unyanyasaji mkubwa sana wa akili, wanaishi mle ndani kama mifugo tu ya kim. anaweza kuwafanya chochote. marekani inatakiwa iwachape kisawasawa na iweke utamaduni mwingine watu wawe wanaamini yupo Mungu, wasali/waswali etc. Mungu mwenyewe anapenda north korea ibadilike, ule utamaduni wa kishetani na kipumbavuu uishe.
Mkuu kwani sisi pia tuko huru hapa kwetu?
 
Lakini kuna kitu huyu dogo anakitafuta,kwani akikaa kimya bila ya kurusha hayo makombora atakosa nini,nadhani anatumia kiasi flani cha ulevi unaomfanya ajiamini na kuona kuwa yuko salama sana.Vita sio kitu cha kuombea,utaharibu uchumi wako,utawaweka watu wako katika maisha yenye mashaka muda wote,vifo vya raia visivyo na sababu n.k.,n.k. au hana TV inayomuonyesha yale magofu kule Syria...!
Atajuaje kwamba silaha zake ni nzuri na za kiwango, bila kuzifanyia majaribio? Siamini kama kuna ambaye anatengeneza silaha bila kuzijaribu. Hata unapopika mboga, it is very likely kuonja. Anatengeneza kwa ajili yake mwenyewe....anayepiga kelele ilihali hajaguswa, hajachokozwa, yeye ndiye mchokozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nilivyomshuhudia Mattis akiongea hakika ni suala la muda tu hawa wamarekani watakinukisha huko rasi ya Korea.

Jamaa ameonesha dhahili alienda White house kupeleka mfumo watakaotumia kuishambulia Korea Kaskazini.

Binafsi naamini kelele za Korea Kaskazini ni sawa na za Saddam Hussein-mwisho mshindi atakuwa USA.
Ni sawa USA walimshinda Saddam Hussein lakini mpaka leo hawajashinda vita na bado vinaendelea ni sawasawa na Afghanistan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nilivyomshuhudia Mattis akiongea hakika ni suala la muda tu hawa wamarekani watakinukisha huko rasi ya Korea.

Jamaa ameonesha dhahili alienda White house kupeleka mfumo watakaotumia kuishambulia Korea Kaskazini.

Binafsi naamini kelele za Korea Kaskazini ni sawa na za Saddam Hussein-mwisho mshindi atakuwa USA.
Soooo whaaaat?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwendawazimu huo ndio unatakiwa kudhibitiwa!
Vikombora vya kim vitaruka siku ya kwanza tu!
Tena ni viwili vitatu.

Atapigwa kutoka angani, ardhini, manowarini, (marekani)
Korea kusini nae atapeleka misumari, Japan atapeleka vimondo.
Kumbuka haya yote yatatokea kwampigo.
Pyongyang itatetemeshwa kwa MOB kama nne au tano wakati vikombora uchwa vinafinywa. Sambamba na mfumo wao wa mawasiliano kukatwa kabisaaaa!

Ndipo midege itakapoanza kupishana Pyongyang kila moja linashusha makombora liyatakayo kwenye army facilities.
Baada ya USA kufanya yake utasikia USA muonevu sana... Kila mtu atamuonea huruma bwana kiduku yatakayomfika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu wanataka kuifananisha wazee wa ngwasuma north korea na congo labda nyie watu north korea ni kitu kingine hatari sana huyo mawigi wenu trump usiku halali anashindia piriton na atakula hadi ugoro na unga kwa stress za bwana mdogo THE KIM
 
Marekani hawezi kukaa kimya kwenye huu mgogoro...Kim katamka waziwazi kabisa wala hapindishi kwamba atailipua US kwa Nuclear...na mbaya zaidi anafanya na vitendo kabisa.....marekani lazima ahangaike....yaani US kuruhusu NK kuwa na Nuclear ni sawasawa na Muisrael kuruhusu Iran kuwa na Nuclear....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana mpaka hivi sasa huamini kama hawa kina kim hivi sasa wana miliki nyuklia...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom