Kuna kila dalili Korea kaskazini kuvamiwa kijeshi!

Uwendawazimu huo ndio unatakiwa kudhibitiwa!
Vikombora vya kim vitaruka siku ya kwanza tu!
Tena ni viwili vitatu.

Atapigwa kutoka angani, ardhini, manowarini, (marekani)
Korea kusini nae atapeleka misumari, Japan atapeleka vimondo.
Kumbuka haya yote yatatokea kwampigo.
Pyongyang itatetemeshwa kwa MOB kama nne au tano wakati vikombora uchwa vinafinywa. Sambamba na mfumo wao wa mawasiliano kukatwa kabisaaaa!

Ndipo midege itakapoanza kupishana Pyongyang kila moja linashusha makombora liyatakayo kwenye army facilities.
Kwa unavyosema unadhani hao majamaa ni wapumbavu wakati wanafahamu fika kuwa watashambuliwa na mataifa 3

Vifaa vyao viko standby kilichobaki ni kubonyeza kitufe ,yaani unavyodhani majamaa wamesinzia kwa yanayoendelea wapo alarmed na uzuri wanayo satellite yao wanausoma mchezi 24/7

Hayo unayoyasema yangekuwa kweli basi kitambo NK wangevamiwa
 
Let's wish owe mikwara maana kama sio mikwara Japan na south Korea watabaki majivu

Sent using Jamii Forums mobile app
japan na south korea wamekosa nini hadi wabaki majivu? na dunia imesimama pembeni inaangalia tu? yaani marekani apigane na north korea halafu north korea aipige japan na south korea ambao wametulia tuliii....unazijua principles za vita wewe? halafu, ukitaja kitu inaitwa japan, usifikiri ni nchi ya kuonewa huruma sanaaa, hata south korea, wako vizuri tu kijeshi, wakiungana wote hao na marekani, north korea atasambaratika hadi hataamini. sema tu woga wao ni kwamba uchumi wa nchi zao utaporomoka sana, na mijengo yao itatikisika kutokana na vishindo etc, na pia japan waoga wa nuke sana kwasababu yalishawakuta. lakini tz ipigane na kinya halafu kenya kwa kulipiza wakaipige uganda ati kwasababu uganda ni rafiki wa tz, katika principles za vita hiyo haipo, na ikitokea mtu akafanya hivyo ujue dunia nzima itasimama upande wa anayeonewa na watawekewa vikwazo vya kueleweka na wataweza hata kuivamia kwa pamoja. labda kama kim haogopi kufa na haogopi kupoteza yoote ambayo familia yake imejenga tangu enzi za mababu zake.
 
Watu wengi mnasahau kitu kimoja tu kuwa yote haya ni marekani kwenda kufanya mazoezi huko korea kusini amini nawaambia ukweli hata kama north korea itapigwa hawatakubali wafe wenyewe lazima korea ya kusini na japan zitaangamizwa na kim tu
 
6e96d2d09e3f60a85449ea0cd8787bb6.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

Hapo nategeme makombora yasiyopungua 100000 kwa wakati mmoja kwa target tofauti ikiwemo vyanzo vya nishati, mawasiliano ya radio, TV, internet, Viwanja vya ndege, bandari, kambi za jeshi
N.k

NK haponi.
US atatumia pre emptive strike.
 
Hakuna dalili zozote zile za Marekani kuivamia Korea Kaskazini.

NK haiwezi kupewa masaa ya kupigwa Kama Sadam.Ina nukes.Itakuwa pre emptive strike.Vita ya Dakika 5 vinu ,mitambo,kambi za jeshi zitakuwa hazipo Tena NK.
 
Kiduku atafanyiwa shambulizi la kushtukiza hamtaamini na atasahaulika jumla. Lengo ni kuondoa kabisa kizazi cha Kim katika utawala wa NK. Sikilizia wanachi wa NK watakavyoshangilia baada ya dikteta kuondolewa. Wapate japo ahueni maana wameishi kama watumwa ndani ya nchi yao wenyewe wakati wenzao SK kama peponi vile.
Hivi kati ya wewe mtanzania na mkorea kaskazini nani anaishi kitumwa

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
siku USA akipigana vita na North korea ndio utakuwa mwisho wake wa u super power wa dunia!
 
japan na south korea wamekosa nini hadi wabaki majivu? na dunia imesimama pembeni inaangalia tu? yaani marekani apigane na north korea halafu north korea aipige japan na south korea ambao wametulia tuliii....unazijua principles za vita wewe? halafu, ukitaja kitu inaitwa japan, usifikiri ni nchi ya kuonewa huruma sanaaa, hata south korea, wako vizuri tu kijeshi, wakiungana wote hao na marekani, north korea atasambaratika hadi hataamini. sema tu woga wao ni kwamba uchumi wa nchi zao utaporomoka sana, na mijengo yao itatikisika kutokana na vishindo etc, na pia japan waoga wa nuke sana kwasababu yalishawakuta. lakini tz ipigane na kinya halafu kenya kwa kulipiza wakaipige uganda ati kwasababu uganda ni rafiki wa tz, katika principles za vita hiyo haipo, na ikitokea mtu akafanya hivyo ujue dunia nzima itasimama upande wa anayeonewa na watawekewa vikwazo vya kueleweka na wataweza hata kuivamia kwa pamoja. labda kama kim haogopi kufa na haogopi kupoteza yoote ambayo familia yake imejenga tangu enzi za mababu zake.
Sasa ukitaka hayo yote yasitokee muambie USA atoke kwenye rasi ya Korea mbona anaenda kufanya mazoezi ndani ya ardhi ya s.Korea tena mpakani mwa North ???

Yaani Leo hii jirani wako anahifadhi na kufuga majambazi kwaajili ya kukuvania wewe hivi uta react vipi

Kingine ni mara ngapi Japan wametishia kuivamia North na pia mgogoro ni wa south na USA ila south kapewa kila kitu masilaha na hawa Japan na south ndio wanashirikiana na USA kwa jeshi la MTU mmoja North.

Nadhani ndugu hujui jinsi global politics inavyokwenda ,mguse Kim uone Seoul kitakachotokea...defensive mechanism

Marekani anapigana na North kwasababu ya washirika Japan na south

Nadhani hujui vita vinavyoenda yaani uweke military base kwa jirani zangu halafu univamie halafu sina uwezo wa kukupiga mbali nawatandika majirani zako

Dunia gani ?labda NATO ila China ,Russia na bara zingine hawatokuwa upande huo
 
Hivi kati ya wewe mtanzania na mkorea kaskazini nani anaishi kitumwa

Sent From My Nokia Ya Tochi
kama naweza kumjibia jamaa swali hilo....inategemeana na awamu mkuu. kwa awamu ya nyerere na awamu ya tano..duh, naogopa uchochezi mimi. ila things speak by themselves.
 
Sasa ukitaka hayo yote yasitokee muambie USA atoke kwenye rasi ya Korea mbona anaenda kufanya mazoezi ndani ya ardhi ya s.Korea tena mpakani mwa North ???

Yaani Leo hii jirani wako anahifadhi na kufuga majambazi kwaajili ya kukuvania wewe hivi uta react vipi

Kingine ni mara ngapi Japan wametishia kuivamia North na pia mgogoro ni wa south na USA ila south kapewa kila kitu masilaha na hawa Japan na south ndio wanashirikiana na USA kwa jeshi la MTU mmoja North.

Nadhani ndugu hujui jinsi global politics inavyokwenda ,mguse Kim uone Seoul kitakachotokea...defensive mechanism

Marekani anapigana na North kwasababu ya washirika Japan na south
hivi unajua kuwa marekani ana kisiwa kulekule kina majiji na watu ambao ni raia wa marekani kabisa? kama sisi tulivyo na kazanzibar ketu vile?
 
Na USA akikaa kwake bila kufanya mazoezi ya pamoja na south mpakani atakosa nini ,

Mwaka Jana USA na south walivyofanya mazoezi ya pamoja dogo akajibu kwa kutest hydrogen na kurusha missile ,juzi makamanda 17500 wa USA na 50,000 walifanya mazoezi mpakani dogo akajibu kwa kurusha kombora anga la Japan

Kwa unavyohisi nani mkorofi ?

Hivi mfano Leo hii USA waje kufanya mazoezi ya pamoja na Malawi mpakani na Tanzania wewe utahisi nini

Kwanza muambie USA atoe pua lake kwenye rasi ile
Mkorofi ni north korea ambaye yeye kwa usiri na china na russia alianzisha vita na korea kusini miaka ya 1950.

Na lengo likiwa ni korea iwe moja na chini ya ushawishi wa kikomunism.

Serikali ya korea kusini ilishashindwa vita ikaomba msaada wa USA na ndio USA akaingia vita kumrudisha korea kaskazini.
ndipo hapo tena Uchina na Russia wakaingilia vita walipoona mshirika wao anapigwa.tokea hapo korea kaskazin kagoma kabisa kusaini treaty ya kumaliza vita na pia ameendelea kutengeneza mabomu.
Kitu kinachoifanya Usa kuendelea kubakia rasi ya korea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa itavamiwa but to the expense of South Korea and Japan civilians who might get obliterated by DPRK missiles counter strikes. This is a ridiculous and uncalculated move by Gen Mattis. Mgogoro huu umedumu kwa miaka zaidi ya 50, watu wenye busara wengi tu hawakujaribu kulianzisha huko nyuma so ukawa freezed. Kumbuka there has never been a peace treaty between the two Koreans, technically they are still at war and this one will be much deadlier.
Uko vizuri sana. Na walimwengu wajue kila MTU atabeba madhara na gharama za vita hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwendawazimu huo ndio unatakiwa kudhibitiwa!
Vikombora vya kim vitaruka siku ya kwanza tu!
Tena ni viwili vitatu.

Atapigwa kutoka angani, ardhini, manowarini, (marekani)
Korea kusini nae atapeleka misumari, Japan atapeleka vimondo.
Kumbuka haya yote yatatokea kwampigo.
Pyongyang itatetemeshwa kwa MOB kama nne au tano wakati vikombora uchwa vinafinywa. Sambamba na mfumo wao wa mawasiliano kukatwa kabisaaaa!

Ndipo midege itakapoanza kupishana Pyongyang kila moja linashusha makombora liyatakayo kwenye army facilities.
Hiyo vita ni ngumu sana wala si nyepesi kama unavyo calculate. Wepesi wake ni pale tu ambapo marekani ataamua kuipiga NK bila ya kujali raia.
 
Back
Top Bottom