Kuna kesi gani kubwa leo Kisutu?

Kweli labda lack of exposure ndo sababu
 
Hili neno ulilomalizia sio la kiungwana mkuu maana kila mtu kaumbwa tofauti au hujui kama hawa wadada unaweza kulala nae kitandani kwako pindi utakapo mwekea jongoo kitandani kwake?
Anadhani tunalingana nini cha kuogopa.
 
Wanavaa hivyo ili kupiga selfie ila kwenye mtiti Polisi wetu ni laini saaaana, trust me ni laini saaaana. Siku tukiamua kuliamsha Polisi wote watakimbia, sema tumebarikiwa kuwa waoga.....hatuna tofauti na nyumbu.
Mimi ni wale wa tuendelee kuwa waoha tu tuilinde amani yetu. Huwa nikiwaza sana amani iliyovurugika kwa vita usiku nikilala naota vita tu na mimi nikiwemo kwenye hizo vita.
 
Yani nahisi hata mtu angekatiza kwenye ule msafara wao wangemmiminia risasi za kutosha. Sasa ndo niwasimamaishe wee. Nahisi walibeba magaidi sijui.
Mara nyingi inakua Alhamisi hizo mbwembwe,kuna siku bodaboda aliingia kati ya huo msafara pale Tazara zilipigwa risasi juu na yule bodaboda aliianguka kwenye tuta la kati kati inapojengwa flyover ana bahati traffic alimuokoa aliwaambia wale jamaa niachieni mimi huyu jamaa endeleeni na msafara walishamshukia kama mwewe
 
Na hata leo walikua wanatokea Tazara. Nimekutana nao mataa ya VETA. boda boda amshukuru traffic angeshabadilishwa jina wanaonekana wana usongo sana na mtu anaeingilia anga zao.
 
Mimi ni wale wa tuendelee kuwa waoha tu tuilinde amani yetu. Huwa nikiwaza sana amani iliyovurugika kwa vita usiku nikilala naota vita tu na mimi nikiwemo kwenye hizo vita.
Taratibu Rafiki usije ukampiga teke shemeji kwenye ikulu yake ukaharibu "assets" zake...
 
Taratibu Rafiki usije ukampiga teke shemeji kwenye ikulu yake ukaharibu "assets" zake...
Unadhani naota napambana? Huwa naota nahangaika kukimbia na mwanangu. Nikiamka nasali Mungu aepushe tusifikue huko. Ninayoyaonaga ndotoni yanatisha. Na si mara moja. Nimeshaota zaidi ya mara 5 kitu hicho hicho kimoja cha vita.
 
Pole sana, hakuna vita bhana, mwambie awe anakukumbatia tu, thats all
 
Kuna masheikh wengine wametoweka huko visiwani, huenda Ndio hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…