Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
Kwa nini hutaki kuharibu macho yako?Mmmh sitaki kuharibu macho yangu
Well,maybe not..
Teh mbona kuna wanawake wana tabia kama zilizoorodheshwa hapo na they are happily married. Wanaume nao huwezi kuwaelewa wanataka nini mmoja moja. So It's better mtu ukastick na tabia yako, sio kuimpress wanaume but kwa sababu ndivyo ulivyo
Yaap my dear, cha msingi ni kuplay part yako ( kuwa real, be good), Muombe Mungu then subiri wakati wako sahihi coz everything happens in God's perfect timeJapo kuna ukweli lakini bado kitu inaitwa 'bahati' inahusika. Watu wana tabia mbovu sio tu kufuga kucha na kushinda mitandaon lakini wanaolewa,na kuna watu ni veeeery descent,lakini ndoa bado ni mtihani.
Twende mbele turudi nyuma,hayo mambo yana play part kubwa tu katika kumcheleweshea mtu 'bahati' yake.
Jiwe gizan... Asante mkuu kwa kuwaamsha dada zetu
Yani unaona kwamba kuolewa ndio ultimate goal ya maisha ya kila mtu au.Iwafikie walee woote hasa wewe
e![]()
Xafi nmeipenda