Kuna ID mlango wa nane, mapooza

Kuna Uzi nimeutoa juzi kati, mmmh aliyeanza ni majonzi jamaa ana elements za kichawi, alichokomenti hadi wamefka 20 wanarudia kile kile najiuliza kwani wote hawakuwa na akili ya kupambanua mambo ila nimekuelewa ntakuwa Nawatag kabisa wasianze Ku komenti
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hebu naomba tag tafadhali
 
Eeeh mkuu, we acha tu naona moderators washauchoma moto....yaan jf kuna manukato ya hujuma....nilifundishwa kutolalamika na kulaumu
Manukato ya hujuma... Nimepuliziwa sana hayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…