Nimeona hapa kwako, hahhaha sasa sijui aliyakoroga hapa au kwingine!!!Mmh uzi gani huo ulompa mtu kifungo
Mi nasuburi mida ilee ya wanga ulete mada zakoDuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wanaogopa kuwa wa kwanza kuchangia [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu hulali au ndio muda wa ibadaNdio hii best
Haya mkuuuu nadhani ibada ilikuwa mujarab leo naona wateja wa mida hii bado wapo kwenye masinagogiNdio nimetoka kilingeni mkuu