Kuna husiano gani kati Busha na kujambisha

Kuna husiano gani kati Busha na kujambisha

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,692
Reaction score
14,380
Kuna mzee mmoja anauza madafu mara nyingi naona watu wanajambisha (kubana midomo kwa mikono kisha kutoa mlio kama kujamba au tarumbeta) basi yule mzee huwa anashtuka na kuruka na kuanza kufanya mambo ya ajabu ikiwemo kushikilia eneo husika na kuanza kuwatukana sana wanaofanya hivyo.

Jana alijambishwa akaruka akaiacha na baskeli ya madafu ikaanguka chali akaanza kutaka kupiga na hajui nani kamjambisha.

Hii inakuaje kitabibu wakuu?
 
Back
Top Bottom