Kuna hizi namba zinatumika kutapeli watu

Nikajua baada ya huu usajili kwa kutumia alama za Vidole basi hata zile meseji za " Ile hela tuma kwenye hii namba " zitaisha Ila kumbe hamna kitu, kila siku napokea meseji zao.
 
Nikajua baada ya huu usajili kwa kutumia alama za Vidole basi hata zile meseji za " Ile hela tuma kwenye hii namba " zitaisha Ila kumbe hamna kitu, kila siku napokea meseji zao.
kwahiyo unataka kusemaje!?
 
Nikajua baada ya huu usajili kwa kutumia alama za Vidole basi hata zile meseji za " Ile hela tuma kwenye hii namba " zitaisha Ila kumbe hamna kitu, kila siku napokea meseji zao.
Tatizo namba zisizosajiliwa wanaziondoa kidogokidogo, sasa hivi wameanza na watu wenye namba za NIDA ambao simu zao hawajazisajili.

Zile line zisizosajiliwa na wamiliki wao hawana namba za NIDA, line hizo zinaendelea kudunda.

Ndiyo maana usumbufu wa matapeli bado upo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapiga simu, wanakuwa na taarifa zako, wazazi, ndugu na jamaa zako, wanakuaminisha na wanakwambia kuwa wametumwa na mama au baba uwape pesa kadhaa kwa ajili ya mzigo wa biashara, kwa kuwaamini unajikuta umetuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana bt muelimishe kuhusu wizi wa mtandaoni na mwambie awe makini next time,asitume hela kwa mtu ambaye humfaham hata akisema mama yako mgonjwa, aconfirm na mama kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom