Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo)

Salam zangu kwako msomaji, niko vema kiafya, kisaikolojia na hata kiutamaduni pia.

Kuna haka katabia kapo mitaani kanatokea kwetu, marafiki zetu na ndugu pia. Ni hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita
mmoja bar au sehemu ya kupunga hewa na kupata moja moto, baridi au juisi na hata maji tu... Lengo linakuwa kurefresh mind sehemu tofaut na mazngira ya kaz au masomo. Unaamua kumpigia simu rafikiyo au mpenziyo aje mbadilishane mawili matatu ama mpate lunch au dinner n.k wanakuja watatu
mpaka watano, halafu wakifika wataagiza vinywaji tena vya gharama (Redbull, Savanna, sometime wine nk) hudai kwamba hawajala, wanaagiza chipsi kuku, baga kila mmoja.
Wanakula kiduchu halafu wanaacha eti wameshiba. Hii huwa inanikera sana, nani anaweza kuwa na dawa yake?

Je wadada nanyi mnakutana na hili mnapowaita wakaka sehemu kama hizo?

Kila kitu ukiamua lazima ukubali gharama zake, nawe nenda na marafiki zako wakaati mwingine ili mambo yawe sawa
 
Dawa yake ni kuwalala wote, kama wamekuja watano unachukua namba zao wote unamlala mmoja baada ya mwingine
 
Back
Top Bottom