Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,192
- 46,238
Shida tunapambazwa na ukubwa huu wa kibongo tunadhani una apply worldwide..Tems tayari ameondoka mkuu,,usifanye maksihara kuwa featured na Drake.Tena nazani zuchu ni mkubwa kuliko huyo Terms, tatzo letu wabongo tunaoenda kwwnda na trends sababu terms kafanya kazi na wizkid ambaye n msanii mkubwa basi ule ukubwa wa wizkid tunataka kimpa na terms huohuo ukubwa lakin sivyo ilivyo, na wengi wetu tumemjua kupitia hyo collabo