Kuna halmashauri ni za hovyo mno!

Kuna halmashauri ni za hovyo mno!

Mfumo wa ugatuzi hauko sawa ndio maana kila kitu kinategemea Centra government..
Na Rais pia hapendi kupunguziwa madaraka yake kwasababu anapata chance za kupiga, kulipa fadhila, kuhonga vyeo na kulinda nafasi yake.

Mfano: Issa Michuzi ni MTU wa karibu na Kikwete na mpiga picha wa Ikulu wa muda mrefu.

Leo binti wa Michuzi, Zahra Michuzi ni DED huko Geita.

Unaweza ukiwa kama DC,RC au hata waziri ambaye ninyi nyote mamlaka zenu za uteuzi ni MOJA hata AVURUNDE vipi, wewe unaweza kumfanya nini huyo binti?

Hivi vyeo vya teuzi kutoka mamlaka moja, havitegemei nani amepewa cheo kikubwa, Bali ni nani ana ukaribu zaidi kwa MTEUZI.

Ndio maana Sabaya akiwa DC alikuwa na mamlaka makubwa kuliko hata RC na mawaziri.

Makonda akiwa RC lakini hata Waziri Mkuu alikuwa anamuogopa.
 
Kuna halmashauri iko mkoa wa KIGOMA kwa kweli watendaji wake hawafai hata kidogo. Hivi karibuni Mwenge ulipita kuzindua madarasa ya UVIKO 19, sasa kwa kuwa yalijengwa chini ya kiwango ilibidi yakarabatiwe upya ili kiongozi wa Mwenge asije akayakataa. Wakatindua sakafu yote na kuweka nyingine, wakaziba liufa likuubwa na kupaka rangi, wizi mtupu.

Jambo la kujiuliza hilo fungu la ukarabati walilipata wapi, jibu ni rahisi tu wamechukua pesa za kujikimu za waajiriwa wapya na kufanyia huo uovu wao. Mpaka sasa hakuna pesa ya kujikimu iliyotolewa kwenye hiyo halmashauri.

Kwakweli kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Mkimbiza mwenge hakushtuka?🤣🤣
 
Na Rais pia hapendi kupunguziwa madaraka yake kwasababu anapata chance za kupiga, kulipa fadhila, kuhonga vyeo na kulinda nafasi yake.

Mfano: Issa Michuzi ni MTU wa karibu na Kikwete na mpiga picha wa Ikulu wa muda mrefu.

Leo binti wa Michuzi, Zahra Michuzi ni DED huko Geita.

Unaweza ukiwa kama DC,RC au hata waziri ambaye ninyi nyote mamlaka zenu za uteuzi ni MOJA hata AVURUNDE vipi, wewe unaweza kumfanya nini huyo binti?

Hivi vyeo vya teuzi kutoka mamlaka moja, havitegemei nani amepewa cheo kikubwa, Bali ni nani ana ukaribu zaidi kwa MTEUZI.

Ndio maana Sabaya akiwa DC alikuwa na mamlaka makubwa kuliko hata RC na mawaziri.

Makonda akiwa RC lakini hata Waziri Mkuu alikuwa anamuogopa.
Umebakiza kusema mwanaharakati huru musiba alikuwa anaogopwa hadi na IGP, wee jamaa bhanaa..
 
Kuna nyakati huwa nawaza, kwani kuna ulazima gani wa DED kuwa presidential appointee, kwani haiwezi kutumika njia nyingine kupata nafasi hiyo.
 
Unaificha ili iweje? Umeleta story utazani upo kukimbiza mwenge
 
Nchi hii sasa hivi 90% Ni WEZI.

Kila kona Ni UCHAWA, CONNECTION, WIZI, MICHONGO na KUBEBANA.

Kuna sehemu huku kina mradi wa jengo LA ofisi ya serikali. Budget ya jengo 180M fundi bei take 18M.

Wanatumia Force account. Material yote na kila kitu wanafanya engineers wa Mkoa wao wanapigia huko.

Huku chini walioambiwa watafute fundi ( local ) wakampa makavu, pesa ya fundi Ni 18M yeye atatoa ngapi apewe kazi. Akasema 2M.

Watu wanapiga kwenye BOQ
hapa ndio kuna upigaji kwa kwel fedha za material sio sahihi kabisa wanakula baina ya supplier na viongoz
 
Back
Top Bottom