Kuna haja yoyote ya mwanamke kujenga kwao?

Kuna haja yoyote ya mwanamke kujenga kwao?

Kwani kwa mwanamke wanaishi ngamia au watu..??

Kama wanaishi ngamia basi asijenge ila kama wanaishi watu ajenge maana wanastahili kupata malazi safi na kila kitu kama uwezo unaruhusu

Labda wanaishi inzi...
 
Back
Top Bottom