Koh koh koh.....
Hala hala usipaliwe shosti
Na nimepaliwa hadi machozi
my gelofriend Heaven Sent kwenye ile kubadili jina alisema ha belong kwao tena yupo kwenye ukoo mwingine na hata akirudisha jezi anazikwa kwao mme
hebu nishauri nikajenge kwetu, kwao mbebs au hii hela ujenzi niile tu chips nimechanganyikiwa
Na nimepaliwa hadi machozi
my gelofriend Heaven Sent kwenye ile kubadili jina alisema ha belong kwao tena yupo kwenye ukoo mwingine na hata akirudisha jezi anazikwa kwao mme
hebu nishauri nikajenge kwetu, kwao mbebs au hii hela ujenzi niile tu chips nimechanganyikiwa[/QUOTE
hahahahaaaaaa.....hayanihusu lakini usijenge kwenu wala kwa shemeji. Hiyo hela jenga nyumba ipangishe, halafu leta wazazi wako ukae nao hapo unapokaa, ile kodi ya pango walishe, wavishe na kuwatibu. Shemeji akipinga na hilo mwambie nae alete wa kwake.
Hela ya ujenzi ndo ninayo hapa mkononi nasubiri ushauri mpendwaUmeshajenga kwenu!???
Hebu kajengee wazazi wako uwasitiri.... achana na Heaven Sent.
Kisha endelwa kuzisaka mjenge na mumeo nyumba ya wanenu na pa kuzeekea.......
Hiyo hela ukiilia chips utanenepa bure
Na nimepaliwa hadi machozi
my gelofriend Heaven Sent kwenye ile kubadili jina alisema ha belong kwao tena yupo kwenye ukoo mwingine na hata akirudisha jezi anazikwa kwao mme
hebu nishauri nikajenge kwetu, kwao mbebs au hii hela ujenzi niile tu chips nimechanganyikiwa
Hebu kajengee wazazi wako uwasitiri.... achana na Heaven Sent.
Kisha endelwa kuzisaka mjenge na mumeo nyumba ya wanenu na pa kuzeekea.......
Hiyo hela ukiilia chips utanenepa bure
Kuna binadamu wengine sijui ni ubinafsi au kutokujiamini au kudhani mahitaji ya mwanamke kwao yanakwisha anapoolewa.... mke akijenga kwao wanatoa macho vibaya mno
Mtu mke na mtu mume...... mkibarikiwa hakikisheni wazazi wenu wapo pazuri wajengeeni tu
Hela ya ujenzi ndo ninayo hapa mkononi nasubiri ushauri mpendwa
nishauri tafadhali
Ilete tuizalishe mpendwa kisha hiyo faida ndo tutumie kujenga booonge la nyumba. Wazazi lazima wafurahi.