Kuna haja ya Unyago kwa wanaume????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya Unyago kwa wanaume?????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sumba-Wanga, Apr 29, 2011.

 1. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Juzi nilikuwa kwenye kitchen party ya shoga yangu na mama mmoja aliyekuwa karibu yangu akasema WANAUME WENGI USIWAONE WANAJIDAI BURE, HAWAJUI KUFANYA MAPENZI!! He, nilishtuka kidogo na kutega sikio langu kwa karibu nitapet kusikia zaidi. Baada ya kusikiliza kwa kirefu nikajua kuwa hoja kubwa ya yule mama ni kwamba wanaume wengi hawajui kufanya mapenzi, hawafundishwi jinsi ya kuishi na wanawake kama ambavyo sisi wanawake tunavyofundishwa kwenye kitchen party. wanaume wengi hawana sehemu yoyote zaidi ya vijiweni, majarida na kwenye party., wanawake wanafundishwa jinsi ya ku handle wanaume, kusihi nao, kuwavumilia na mengine. Lakini wanaume hawafundishwi wafanye nini kwenye ndoa zao!!!

  Nakapata wazo, kuna haja ya kuintroduce unyago wa aina fulani kwa wanaume? Nini kifanyike kuwafunda wanaume hawa? wajue mwanamke anahitaji nini na wao wafanyaje? je JF pekee inatosha? Lakini mbona wanaume wengi hawasomi????

  Nimebaki na labda...... naogopa kuingia kwenye ndoa, haya niliyosikia ni ya kweli?

  wana JF mpo?
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  wanaume ha2na unyago bali tuna jando
   
 3. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmmhhhh wamekusikia!!!

  wabadilike, wengi wanachojua mapenzi ni kutwanga tu!!!

  hawajui kuwa hata kabla mahindi hayajawekwa kwenye kinu yanahitaji matayarisho!!!
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,698
  Trophy Points: 280
  PHP:
  [B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Kuna haja ya Unyago kwa wanaume????? [/B]

      
  Juzi  nilikuwa kwenye kitchen party ya shoga yangu na mama mmoja aliyekuwa  karibu yangu akasema WANAUME WENGI USIWAONE WANAJIDAI BUREHAWAJUI  KUFANYA MAPENZI!! Henilishtuka kidogo na kutega sikio langu kwa karibu  nitapet kusikia zaidi.  Baada ya kusikiliza kwa kirefu nikajua kuwa  hoja kubwa ya yule mama ni kwamba wanaume wengi hawajui kufanya mapenzi,  hawafundishwi jinsi ya kuishi na wanawake kama ambavyo sisi wanawake  tunavyofundishwa kwenye kitchen partywanaume wengi hawana sehemu  yoyote zaidi ya vijiwenimajarida na kwenye party., wanawake  wanafundishwa jinsi ya ku handle wanaumekusihi naokuwavumilia na  mengineLakini wanaume hawafundishwi wafanye nini kwenye ndoa zao!!!
   
  Nakapata wazokuna haja ya kuintroduce unyago wa aina fulani kwa  wanaumeNini kifanyike kuwafunda wanaume hawawajue mwanamke anahitaji  nini na wao wafanyajeje JF pekee inatoshaLakini mbona wanaume wengi  hawasomi????
   
  Nimebaki na labda...... naogopa kuingia kwenye ndoahaya niliyosikia ni ya kweli?
   
  wana JF mpo?
  Pamoja na mafunzo mazuri mnayodai kuyapata mbona boli bado ni la kawaida tu..............................................na kama nyie kweli na wataalamu mbona utaalamu wenu hamuuonyeshi kwetu?
   
 5. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Endelea kuogopa wenzako wanaojua siri ya wanaume wameishaingia katika ndoa na wengine wanaingia kila siku! Ushauri wa bure ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na si kukaa kushabikia usiyayajua. Je ulimwuliza huyo mama kuwa ameishafanya mapenzi na wanaume wangapi nd akaja na hiyo conclusion? kama ni kwa mme wake tu basi angesema mme wake hajui mapenzi na si wanaume wote. Nafikiri ukimwuliza mke wangu atakupa jibu tofauti na wapo wengine wengi tu.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,698
  Trophy Points: 280
  PHP:
  [B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: Kuna haja ya Unyago kwa wanaume????? [/B]

      
  mmmhhhh wamekusikia!!!
   
  wabadilikewengi wanachojua mapenzi ni kutwanga tu!!!
   
  hawajui kuwa hata kabla mahindi hayajawekwa kwenye kinu yanahitaji matayarisho!!!
  Nilifikiri kitchen party pia inawafunza namna ya kuwaandaa njemba zenu ili waache kutwanga kama kinu kwa kuacha kutoa mayoweo na kupongeza ya uongo na ukweli..............................uongo na ukweli huo ndiyo hutudanganya ya kuwa tumewafikisha kilelelni kumbe ni chombeza tu...................................nionavyo mafunzo yenu bado yana mapungufu sana....................................
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,698
  Trophy Points: 280
  PHP:
  [B]             [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: Kuna haja ya Unyago kwa wanaume?????         [/B]

                                                                                                         
  Endelea kuogopa wenzako wanaojua  siri ya wanaume wameishaingia katika ndoa na wengine wanaingia kila  sikuUshauri wa bure ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze na si  kukaa kushabikia usiyayajuaJe ulimwuliza huyo mama kuwa ameishafanya  mapenzi na wanaume wangapi nd akaja na hiyo conclusionkama ni kwa mme  wake tu basi angesema mme wake hajui mapenzi na si wanaume wote.  Nafikiri ukimwuliza mke wangu atakupa jibu tofauti na wapo wengine wengi  tu.
  sijui kuna mipaka ya kutoa likes..................................sioni pa kubonyeza kwani hii hoja imenivutia mno...............labda itabidi nimwongezee reputation ........................thank you for this useful post...........................
   
 8. n

  neyro JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  mi nadhan wanaume wasikwepe hoja kiukwel wengi wanajua 'sexing' kwa kuona movie za x 2! Hebu kuweni wabunifu! pia kufanya sex only haitoshi bt 'care' ndo muhmu ya kumfanya m'ke awe mbunifu pia
   
 9. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kitchen party ya masaa yasiyozidi mawili + madoido kibao kwa msichana ambaye ameshachakachuana na mchumba/hawala yake vya kutosha ndo leo hii iwafanye wawe bora kiasi cha wanaume nao kutafutiwa ya kwao??? Kweli kujidanganya na kudanganyana kwa namna hii hakutoisha.
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kitu kikubwa katika tendo la ndoa mwanaume inabidi ahakikishe kua anapojiridhisha amridhishe na mwenzi wake pia; which is not hard - what makes it hard ni sababu ya tabia ya wanawake wengi kwa wenza wao kujifanya kisha fika huku akitoa sauti so convincing (one of my best friend is a guy hua ananiambia inamfanya awe mad mana anashindwa kumsoma is it true kafika or not; acha hizi kelele zinazotolewa na wanaoiga guys hua wanajua you are faking it!) kwa guys wengine ambao hawaridhishi wenza wao ndo wale wavivu naturally, yani akiridhika hawezi na hata afundwe kazi bure maana ni mvivu au kuna special cases za nguvu ndogo. SASA BASI kitu cha muhimu for the guys ni stamina na kujua kwamba amridhishe mwenzi wake.

  Kimbembe kipo kwa sie wadada, kweli kunatakiwa ufundi wa ziada wa kutumia kulingana na umbo la mwenza wake (we know kua wametofautiana), among the things mdada anafundishwa ni kumhimili mpenzi wake na kumsoma na kummudu no matter what nor the size! Naomba tusiende mbali...

  Umuhimu wa the guys kufundwa ni kweli upo, tunaona jinsi wanaume zamani walivyokua proud, responsible and accountable for their wives and family (note that si zote) - ila sasa wanaume wengi they expect kumtegemea mwanamke kwa nguvu zote hata kama yeye the guy ana uwezo wa kutosha. Hivyo katika kufundwa si swala la sex tu hata elimu ya kuishi na mwanamke ni muhimu. si lazima darasa but wale walooa, watu wazima watafute mda kwa kijana wao anae oa na kumuelewesha.
   
 11. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  huyo ajui alisemalo, mi nadhani wanawake ndo mambumbumbu wa mapenz. kitchen party hazina lolote zaid ya kupeana vyombo, wizi mtupu. wanawake wengi ukiwaona mitaani wanajidai na kuringa utafkir wanajua mambo, jaribu utashangaa ni 0+0
   
Loading...