Bossless
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 1,381
- 2,892
Habari zenu wakuu.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo ,kutokana na matukio yanayoendelea nchini na duniani kwa wenzetu naona kuna haja ya mwenyezimungu kukiondoa haraka kizazi hiki kwa manufaa ya vizazi vingine vijavyo mbele haijalishi akiondoae kwa maji,moto,magonjwa n.k lakini kitoke tupishe wengine.
Hebu jaribu kujiuliza hizi nchi za ulaya zenye technolojia ya hali ya juu na kila kitu lakini kila siku wanazidi kushindana kutengeneza siraha nzito nzito na mibomu ya nuclear ,unaweza kujiuliza hizi silaha zinatengezwa kwa ajili gani? Trust me siku za mbeleni zitatumika kutuangamiza sisi wenyewe.
Ona pamoja na ukimwi kuwa tishio na kuwa watu wenge hadi sasa watu na bado wengine tunaishi na virusi tukisubiri zamu yetu tuvute lakini wapi guest mjini ndo zinaongezeka na ngono ndo biashara ya uhakika yenye faida ya haraka na akina nani bado wanaopowa Dada POWa kama kawaida.
Wizi- binadamu amekuwa mnyama yupo tayari kukuangamiza ili mradi aibe chako akafanye maisha yake mbele hakuna hofu tena ya kuiba au kudhurumu watu wote tumekuwa wezi kinachotutofautisha style tu y wizi lakini wizi ni wizi tu haijalishi upo ofisini au upo bungeni.
Na mengine mengi mtaongezeaaa ....kwa hayo machache naona kizazi kijacho kitakuwa katika hatarii zaidi kuliko sisi kwani kitarithi hata tunayofanya,kama ujuavyo cha kurithi huzidi.
EE MWENYEZIMUNGU KIONDOE KIZAZI HIKI HARAKA SANAA KWA FAIDA YA VIZAZI VINGINE VIJAVYO.
Alamsiki.