marisi schwein
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 1,014
- 3,029
Salaam wanajukwaa! Nimekuwa na wazo hili kwa muda mrefu sana.
Nilibahatika kusoma shule ya vipaji maalum kidato cha tano na sita na hapo nikakutana na wanafunzi 'vipanga' kweli wengine wakaishia kuwa ma TOs(Tanzania Ones).
Wanafunzi hawa ama waliishia kuitwa bungeni kupewa laptops na kupigwa picha na kupewa mkopo wa chuo kikuu( end of story). Hakuna mpango mahsusi wa kuhaness vipaji vyao au kuendeleza vipaji vyao kwa faida ya taifa zaidi ya wengine baadhi yao kubakizwa vyuon kufundisha(so sad).
Ombi langu ni kwanini kusingekuwa na presidential funded au special funded foundation kwa ajil ya kuwatafuta watu wenye akili kubwa(High IQs) toka wakiwa wadogo na kuwaweka kwenye mazingira mazuri wakasomeshwa na serikali kutoka wakiwa wadogo mpaka vyuo vikuu vya kueleweka duniani (Havard, Mist, Oxford, Stamford n.k) kwa utaratib wa kuja kutumikia nchi katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia na ubunifu (sio siasa).
Mfuko huu unaweza kuitwa jina la Rais mwanzilishi mfano Magufuli's Special Education Fund au Presidential Education Fund, ambapo kutakuwa kunapitishwa mchujo mkali na watu kupita vijiji na tarafa zote kutafuta watu wenye uwezo mkubwa sana darasani let's say kwa kuwafanyisha mitihani mbalimbali kupima uwezo wao na kuwa recruit kweny mfuko.
Tukiwa na uhakika angalau wa kupat wanafunzi 100 tutakaowapeleka vyuo mbalimbali vya kueleweka duniani baada ya miaka kumi tutakuwa na watu kama 900-1000 ambao watakuwa na manufaa makubwa kwa nchi.
Cc: Pasko, Mag3, Petro E. Mselewa,Salary slip, Zitto, Gentamycin, Anthony Mtaka, Mwigulu Nchemba n.k
Education system yetu haiwezi huzalisha "special and ginius stedent" hao ulivo soma nao ni vipanga wakukalili notes na majibu kwasababu education system yetu ni "examination oriented" sio kwamba wanaelewa sana, tumeona ma proffesor genius katika sector ya siasa sheria uongozi nk..performance zao ni mbaya kuliko hata wa cetificete na diploma....tatizo ni system yetu ya elimu, kila mwanafunzi ni potential ginius isipo kua mazingira ya kusomea.Salaam wanajukwaa! Nimekuwa na wazo hili kwa muda mrefu sana.
Nilibahatika kusoma shule ya vipaji maalum kidato cha tano na sita na hapo nikakutana na wanafunzi 'vipanga' kweli wengine wakaishia kuwa ma TOs(Tanzania Ones).
Wanafunzi hawa ama waliishia kuitwa bungeni kupewa laptops na kupigwa picha na kupewa mkopo wa chuo kikuu( end of story). Hakuna mpango mahsusi wa kuhaness vipaji vyao au kuendeleza vipaji vyao kwa faida ya taifa zaidi ya wengine baadhi yao kubakizwa vyuon kufundisha(so sad).
Ombi langu ni kwanini kusingekuwa na presidential funded au special funded foundation kwa ajil ya kuwatafuta watu wenye akili kubwa(High IQs) toka wakiwa wadogo na kuwaweka kwenye mazingira mazuri wakasomeshwa na serikali kutoka wakiwa wadogo mpaka vyuo vikuu vya kueleweka duniani (Havard, Mist, Oxford, Stamford n.k) kwa utaratib wa kuja kutumikia nchi katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia na ubunifu (sio siasa).
Mfuko huu unaweza kuitwa jina la Rais mwanzilishi mfano Magufuli's Special Education Fund au Presidential Education Fund, ambapo kutakuwa kunapitishwa mchujo mkali na watu kupita vijiji na tarafa zote kutafuta watu wenye uwezo mkubwa sana darasani let's say kwa kuwafanyisha mitihani mbalimbali kupima uwezo wao na kuwa recruit kweny mfuko.
Tukiwa na uhakika angalau wa kupat wanafunzi 100 tutakaowapeleka vyuo mbalimbali vya kueleweka duniani baada ya miaka kumi tutakuwa na watu kama 900-1000 ambao watakuwa na manufaa makubwa kwa nchi.
Cc: Pasko, Mag3, Petro E. Mselewa,Salary slip, Zitto, Gentamycin, Anthony Mtaka, Mwigulu Nchemba n.k
Ni wazo zuri sana likifanyika, lakini kwa nchi yetu ambayo waliotawala wanawaandaa watoto wao au jamaa zao waendelee kutawala nchi baada ya wao kutoka madarakani, sidhan kama hili linaweza kupewa kipaumbele kwa sababu watapatikana watu wenye akili kubwa kuliko wale wanaowaandaa kuchukua madaraka.Salaam wanajukwaa! Nimekuwa na wazo hili kwa muda mrefu sana.
Nilibahatika kusoma shule ya vipaji maalum kidato cha tano na sita na hapo nikakutana na wanafunzi 'vipanga' kweli wengine wakaishia kuwa ma TOs(Tanzania Ones).
Wanafunzi hawa ama waliishia kuitwa bungeni kupewa laptops na kupigwa picha na kupewa mkopo wa chuo kikuu( end of story). Hakuna mpango mahsusi wa kuhaness vipaji vyao au kuendeleza vipaji vyao kwa faida ya taifa zaidi ya wengine baadhi yao kubakizwa vyuon kufundisha(so sad).
Ombi langu ni kwanini kusingekuwa na presidential funded au special funded foundation kwa ajil ya kuwatafuta watu wenye akili kubwa(High IQs) toka wakiwa wadogo na kuwaweka kwenye mazingira mazuri wakasomeshwa na serikali kutoka wakiwa wadogo mpaka vyuo vikuu vya kueleweka duniani (Havard, Mist, Oxford, Stamford n.k) kwa utaratib wa kuja kutumikia nchi katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia na ubunifu (sio siasa).
Mfuko huu unaweza kuitwa jina la Rais mwanzilishi mfano Magufuli's Special Education Fund au Presidential Education Fund, ambapo kutakuwa kunapitishwa mchujo mkali na watu kupita vijiji na tarafa zote kutafuta watu wenye uwezo mkubwa sana darasani let's say kwa kuwafanyisha mitihani mbalimbali kupima uwezo wao na kuwa recruit kweny mfuko.
Tukiwa na uhakika angalau wa kupat wanafunzi 100 tutakaowapeleka vyuo mbalimbali vya kueleweka duniani baada ya miaka kumi tutakuwa na watu kama 900-1000 ambao watakuwa na manufaa makubwa kwa nchi.
Cc: Pasko, Mag3, Petro E. Mselewa,Salary slip, Zitto, Gentamycin, Anthony Mtaka, Mwigulu Nchemba n.k
so sadUnayo hoja japo haujaipanga vizuri , Lakini nasikitika kukuambia kwamba MFUKO PEKEE ULIOANZISHWA NA OFISI HIYO NI ULE WA KUKUSANYA FEDHA ZA KUNUNUA WABUNGE NA MADIWANI , MFUKO HUU UMEMEZA HELA KIASI CHA KWAMBA HATUWEZI HATA KUJENGA WODI ZA WAGONJWA MPAKA TUSUBIRI RAMBIRAMBI ZA MAITI .
Siyo ya kitumwa, nchi nyingi za Kiarabu na Asia zinafanya hivyo, ili wasomi waje na kitu kipya maana ukibaki ndani unaweza usifahamu hata yale tunayaoyaita "Hidden Curriculum".Eti tuwapeleke vyuo vya nje kama Harvard!
Kwanini tusiboreshe vyuo vyetu vya ndani vikawa HAVARDS za Tanzania?
Mawazo ya kitumwa haya!
Siyo ya kitumwa, nchi nyingi za Kiarabu na Asia zinafanya hivyo, ili wasomi waje na kitu kipya maana ukibaki ndani unaweza usifahamu hata yale tunayaoyaita "Hidden Curriculum".
Nchi nyingi zilizofanikiwa dunian zilipeleka wanafunz nchi za magharibi 'wakaiba' ujuzi na kuurudisha nchini kwao. Rejea historia ya Korea, Taiwan, Singapore n.kEti tuwapeleke vyuo vya nje kama Harvard!
Kwanini tusiboreshe vyuo vyetu vya ndani vikawa HAVARDS za Tanzania?
Mawazo ya kitumwa haya!
Ndio maana nikasem watambuliwe watu wenye uwezo special wangali wakiwa wadogo na kuwa honed na kuandaliwa kwenda nje kutuletea teknolojia adhimu nchiniEducation system yetu haiwezi huzalisha "special and ginius stedent" hao ulivo soma nao ni vipanga wakukalili notes na majibu kwasababu education system yetu ni "examination oriented" sio kwamba wanaelewa sana, tumeona ma proffesor genius katika sector ya siasa sheria uongozi nk..performance zao ni mbaya kuliko hata wa cetificete na diploma....tatizo ni system yetu ya elimu, kila mwanafunzi ni potential ginius isipo kua mazingira ya kusomea.
Wanaojitambua kama taifa wanafanya hivyo kwa nchi zao na wanatumwa na nchi zao kwenda kuleta knowledge ss hapa ni wangapi wamepelekwa na wakazamia mamtoni baada ya kumaliza masomo hawana hata chembe ya uzalendo wa awaza ugali wa leo na sio manufaa mapana ya taifa ni ngumu sana kwa watz wengi sijui tuna hako kaugonjwa ka uzalendoless we dont think as "WE" kitu ambacho ndio msingi wa mataifa makubwa kuwa yalivyo leo kama the "US" na wengine baba Nyerere alijitahidi kutujengea hicho kitu lakini hatukitumii na kwa kuwa hatukitumii kitakufa hatimaye!Nchi nyingi zilizofanikiwa dunian zilipeleka wanafunz nchi za magharibi 'wakaiba' ujuzi na kuurudisha nchini kwao. Rejea historia ya Korea, Taiwan, Singapore n.k
Jiulize Mkuuu, kama Mkishatoka Kibondo/Liwale/Nkasi nk kuja Kusoma Muhimbili/UDSM baaada ya Kuhitimu hamtaki kabisa kupangwa huko Mwandiga, Manyovu, Malampaka nk Mnaaanza kusema tutabanana hapahapa DAAASLAM itakuwaje Mkipelekwa HAVARD???? Si ndio mtasema heri Uoshe wazeee Mavi huko US kuliko kurudi AFRICA???Salaam wanajukwaa! Nimekuwa na wazo hili kwa muda mrefu sana.
Nilibahatika kusoma shule ya vipaji maalum kidato cha tano na sita na hapo nikakutana na wanafunzi 'vipanga' kweli wengine wakaishia kuwa ma TOs(Tanzania Ones).
Wanafunzi hawa ama waliishia kuitwa bungeni kupewa laptops na kupigwa picha na kupewa mkopo wa chuo kikuu( end of story). Hakuna mpango mahsusi wa kuhaness vipaji vyao au kuendeleza vipaji vyao kwa faida ya taifa zaidi ya wengine baadhi yao kubakizwa vyuon kufundisha(so sad).
Ombi langu ni kwanini kusingekuwa na presidential funded au special funded foundation kwa ajil ya kuwatafuta watu wenye akili kubwa(High IQs) toka wakiwa wadogo na kuwaweka kwenye mazingira mazuri wakasomeshwa na serikali kutoka wakiwa wadogo mpaka vyuo vikuu vya kueleweka duniani (Havard, Mist, Oxford, Stamford n.k) kwa utaratib wa kuja kutumikia nchi katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia na ubunifu (sio siasa).
Mfuko huu unaweza kuitwa jina la Rais mwanzilishi mfano Magufuli's Special Education Fund au Presidential Education Fund, ambapo kutakuwa kunapitishwa mchujo mkali na watu kupita vijiji na tarafa zote kutafuta watu wenye uwezo mkubwa sana darasani let's say kwa kuwafanyisha mitihani mbalimbali kupima uwezo wao na kuwa recruit kweny mfuko.
Tukiwa na uhakika angalau wa kupat wanafunzi 100 tutakaowapeleka vyuo mbalimbali vya kueleweka duniani baada ya miaka kumi tutakuwa na watu kama 900-1000 ambao watakuwa na manufaa makubwa kwa nchi.
Cc: Pasko, Mag3, Petro E. Mselewa,Salary slip, Zitto, Gentamycin, Anthony Mtaka, Mwigulu Nchemba n.k
Kha! yaani ukitaja rambirambi sijui kwa nini Napata hasira za kustukiza!Unayo hoja japo haujaipanga vizuri , Lakini nasikitika kukuambia kwamba MFUKO PEKEE ULIOANZISHWA NA OFISI HIYO NI ULE WA KUKUSANYA FEDHA ZA KUNUNUA WABUNGE NA MADIWANI , MFUKO HUU UMEMEZA HELA KIASI CHA KWAMBA HATUWEZI HATA KUJENGA WODI ZA WAGONJWA MPAKA TUSUBIRI RAMBIRAMBI ZA MAITI .
Hizo zilikuwa enzi za ujima!Nchi nyingi zilizofanikiwa dunian zilipeleka wanafunz nchi za magharibi 'wakaiba' ujuzi na kuurudisha nchini kwao. Rejea historia ya Korea, Taiwan, Singapore n.k