Kuna haja ya kuwa na Presidential Special Education Fund

Dec 3, 2013
95
150
Salaam wanajukwaa! Nimekuwa na wazo hili kwa muda mrefu sana.

Nilibahatika kusoma shule ya vipaji maalum kidato cha tano na sita na hapo nikakutana na wanafunzi 'vipanga' kweli wengine wakaishia kuwa ma TOs(Tanzania Ones).

Wanafunzi hawa ama waliishia kuitwa bungeni kupewa laptops na kupigwa picha na kupewa mkopo wa chuo kikuu( end of story). Hakuna mpango mahsusi wa kuhaness vipaji vyao au kuendeleza vipaji vyao kwa faida ya taifa zaidi ya wengine baadhi yao kubakizwa vyuon kufundisha(so sad).

Ombi langu ni kwanini kusingekuwa na presidential funded au special funded foundation kwa ajil ya kuwatafuta watu wenye akili kubwa(High IQs) toka wakiwa wadogo na kuwaweka kwenye mazingira mazuri wakasomeshwa na serikali kutoka wakiwa wadogo mpaka vyuo vikuu vya kueleweka duniani (Havard, Mist, Oxford, Stamford n.k) kwa utaratib wa kuja kutumikia nchi katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia na ubunifu (sio siasa).

Mfuko huu unaweza kuitwa jina la Rais mwanzilishi mfano Magufuli's Special Education Fund au Presidential Education Fund, ambapo kutakuwa kunapitishwa mchujo mkali na watu kupita vijiji na tarafa zote kutafuta watu wenye uwezo mkubwa sana darasani let's say kwa kuwafanyisha mitihani mbalimbali kupima uwezo wao na kuwa recruit kweny mfuko.

Tukiwa na uhakika angalau wa kupat wanafunzi 100 tutakaowapeleka vyuo mbalimbali vya kueleweka duniani baada ya miaka kumi tutakuwa na watu kama 900-1000 ambao watakuwa na manufaa makubwa kwa nchi.
Cc: Pasko, Mag3, Petro E. Mselewa,Salary slip, Zitto, Gentamycin, Anthony Mtaka, Mwigulu Nchemba n.k
 
Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,148
2,000

Hhahahahahhh..Mkuu hebu tuanze na wewe. Baada ya kutoka shule ya vipaji maalumu tupe experience yako. Uko wapi na unalifanyia nini taifa lako? Maana hapa inaonekana unauliza what the country can do for you and not what you can do for your country.

Maana hata tunaoambiwa walipata First Class Vyuo vikuu ndo akina Kabudi na Mwakyembe....NA WENGINE WAMEISHIA KUWA WAAJIRIWA WA CCM au wabunge wa viti maalum. hebu wewe tupe experience yako!

Nimeuliza kama mfaidika wa shule za UPE chini ya Majemedari Kambarage na Mwinyi.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,066
2,000
Salaam wanajukwaa! Nimekuwa na wazo hili kwa muda mrefu sana.

Nilibahatika kusoma shule ya vipaji maalum kidato cha tano na sita na hapo nikakutana na wanafunzi 'vipanga' kweli wengine wakaishia kuwa ma TOs(Tanzania Ones).

Wanafunzi hawa ama waliishia kuitwa bungeni kupewa laptops na kupigwa picha na kupewa mkopo wa chuo kikuu( end of story). Hakuna mpango mahsusi wa kuhaness vipaji vyao au kuendeleza vipaji vyao kwa faida ya taifa zaidi ya wengine baadhi yao kubakizwa vyuon kufundisha(so sad).

Ombi langu ni kwanini kusingekuwa na presidential funded au special funded foundation kwa ajil ya kuwatafuta watu wenye akili kubwa(High IQs) toka wakiwa wadogo na kuwaweka kwenye mazingira mazuri wakasomeshwa na serikali kutoka wakiwa wadogo mpaka vyuo vikuu vya kueleweka duniani (Havard, Mist, Oxford, Stamford n.k) kwa utaratib wa kuja kutumikia nchi katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia na ubunifu (sio siasa).

Mfuko huu unaweza kuitwa jina la Rais mwanzilishi mfano Magufuli's Special Education Fund au Presidential Education Fund, ambapo kutakuwa kunapitishwa mchujo mkali na watu kupita vijiji na tarafa zote kutafuta watu wenye uwezo mkubwa sana darasani let's say kwa kuwafanyisha mitihani mbalimbali kupima uwezo wao na kuwa recruit kweny mfuko.

Tukiwa na uhakika angalau wa kupat wanafunzi 100 tutakaowapeleka vyuo mbalimbali vya kueleweka duniani baada ya miaka kumi tutakuwa na watu kama 900-1000 ambao watakuwa na manufaa makubwa kwa nchi.
Cc: Pasko, Mag3, Petro E. Mselewa,Salary slip, Zitto, Gentamycin, Anthony Mtaka, Mwigulu Nchemba n.k
Education system yetu haiwezi huzalisha "special and ginius stedent" hao ulivo soma nao ni vipanga wakukalili notes na majibu kwasababu education system yetu ni "examination oriented" sio kwamba wanaelewa sana, tumeona ma proffesor genius katika sector ya siasa sheria uongozi nk..performance zao ni mbaya kuliko hata wa cetificete na diploma....tatizo ni system yetu ya elimu, kila mwanafunzi ni potential ginius isipo kua mazingira ya kusomea.
 
Regnatus Cletus

JF-Expert Member
May 26, 2018
1,114
2,000
Eti tuwapeleke vyuo vya nje kama Harvard!

Kwanini tusiboreshe vyuo vyetu vya ndani vikawa HAVARDS za Tanzania?

Mawazo ya kitumwa haya!
 
Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
3,308
2,000
Naomba nami nichangie ingawa hujanitag hapo juu...
Kiufupi mawazo yako nayaunga mkono , nilibahatika kusoma shule za kawaida tuu lakini nilikua na marafiki ambao ni exceptional/talented wengine waliingia hadi top 10 ya kitaifa... lakini siku zote nawaza mpaka sasa wapo kama sisi wengine tuu, wengine wamejiunga na chama kupiga porojo,
Kuna haja serikali kuangalia hili suala
 
Mpekuzi17

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
445
500
Salaam wanajukwaa! Nimekuwa na wazo hili kwa muda mrefu sana.

Nilibahatika kusoma shule ya vipaji maalum kidato cha tano na sita na hapo nikakutana na wanafunzi 'vipanga' kweli wengine wakaishia kuwa ma TOs(Tanzania Ones).

Wanafunzi hawa ama waliishia kuitwa bungeni kupewa laptops na kupigwa picha na kupewa mkopo wa chuo kikuu( end of story). Hakuna mpango mahsusi wa kuhaness vipaji vyao au kuendeleza vipaji vyao kwa faida ya taifa zaidi ya wengine baadhi yao kubakizwa vyuon kufundisha(so sad).

Ombi langu ni kwanini kusingekuwa na presidential funded au special funded foundation kwa ajil ya kuwatafuta watu wenye akili kubwa(High IQs) toka wakiwa wadogo na kuwaweka kwenye mazingira mazuri wakasomeshwa na serikali kutoka wakiwa wadogo mpaka vyuo vikuu vya kueleweka duniani (Havard, Mist, Oxford, Stamford n.k) kwa utaratib wa kuja kutumikia nchi katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia na ubunifu (sio siasa).

Mfuko huu unaweza kuitwa jina la Rais mwanzilishi mfano Magufuli's Special Education Fund au Presidential Education Fund, ambapo kutakuwa kunapitishwa mchujo mkali na watu kupita vijiji na tarafa zote kutafuta watu wenye uwezo mkubwa sana darasani let's say kwa kuwafanyisha mitihani mbalimbali kupima uwezo wao na kuwa recruit kweny mfuko.

Tukiwa na uhakika angalau wa kupat wanafunzi 100 tutakaowapeleka vyuo mbalimbali vya kueleweka duniani baada ya miaka kumi tutakuwa na watu kama 900-1000 ambao watakuwa na manufaa makubwa kwa nchi.
Cc: Pasko, Mag3, Petro E. Mselewa,Salary slip, Zitto, Gentamycin, Anthony Mtaka, Mwigulu Nchemba n.k
Ni wazo zuri sana likifanyika, lakini kwa nchi yetu ambayo waliotawala wanawaandaa watoto wao au jamaa zao waendelee kutawala nchi baada ya wao kutoka madarakani, sidhan kama hili linaweza kupewa kipaumbele kwa sababu watapatikana watu wenye akili kubwa kuliko wale wanaowaandaa kuchukua madaraka.
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
8,269
2,000
tunao mfuko wa rais sijui kama unafahamu, lakini kwa mazingira ya elimu ya Tanzania ambayo shule moja mwalimu anafundisha wanafunzi 80 na shule nyingine mwalimu anafundisha wanafunzi 25 sijui unapataje wanafunzi wenye vipaji maalumu.Cha muhimu tuboreshe maslahi ya walimu na kufanya ajira ya uwalimu kuwa kimbilio la wale waliofaulu vizuri ndipo tutazalisha wanafunzi wengi wenye uwezo na vipaji badala ya kutegemea wanafunzi ambao wametengenezwa kwa mazingira bora zaidi
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,158
2,000
Unayo hoja japo haujaipanga vizuri , Lakini nasikitika kukuambia kwamba MFUKO PEKEE ULIOANZISHWA NA OFISI HIYO NI ULE WA KUKUSANYA FEDHA ZA KUNUNUA WABUNGE NA MADIWANI , MFUKO HUU UMEMEZA HELA KIASI CHA KWAMBA HATUWEZI HATA KUJENGA WODI ZA WAGONJWA MPAKA TUSUBIRI RAMBIRAMBI ZA MAITI .
 
Sob Jr

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
384
250

so sad
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
3,712
2,000
Eti tuwapeleke vyuo vya nje kama Harvard!

Kwanini tusiboreshe vyuo vyetu vya ndani vikawa HAVARDS za Tanzania?

Mawazo ya kitumwa haya!
Siyo ya kitumwa, nchi nyingi za Kiarabu na Asia zinafanya hivyo, ili wasomi waje na kitu kipya maana ukibaki ndani unaweza usifahamu hata yale tunayaoyaita "Hidden Curriculum".
 
Regnatus Cletus

JF-Expert Member
May 26, 2018
1,114
2,000
Wenye ujuzi waje kufundisha huku!

Dunia siku hizi ni nyepesi na ndogo sana, kila jambo unalolitaka unalipata mezani.
Siyo ya kitumwa, nchi nyingi za Kiarabu na Asia zinafanya hivyo, ili wasomi waje na kitu kipya maana ukibaki ndani unaweza usifahamu hata yale tunayaoyaita "Hidden Curriculum".
 
Dec 3, 2013
95
150
Eti tuwapeleke vyuo vya nje kama Harvard!

Kwanini tusiboreshe vyuo vyetu vya ndani vikawa HAVARDS za Tanzania?

Mawazo ya kitumwa haya!
Nchi nyingi zilizofanikiwa dunian zilipeleka wanafunz nchi za magharibi 'wakaiba' ujuzi na kuurudisha nchini kwao. Rejea historia ya Korea, Taiwan, Singapore n.k
 
Dec 3, 2013
95
150
Education system yetu haiwezi huzalisha "special and ginius stedent" hao ulivo soma nao ni vipanga wakukalili notes na majibu kwasababu education system yetu ni "examination oriented" sio kwamba wanaelewa sana, tumeona ma proffesor genius katika sector ya siasa sheria uongozi nk..performance zao ni mbaya kuliko hata wa cetificete na diploma....tatizo ni system yetu ya elimu, kila mwanafunzi ni potential ginius isipo kua mazingira ya kusomea.
Ndio maana nikasem watambuliwe watu wenye uwezo special wangali wakiwa wadogo na kuwa honed na kuandaliwa kwenda nje kutuletea teknolojia adhimu nchini
 
Jehujehu

JF-Expert Member
May 4, 2018
224
250
Nchi nyingi zilizofanikiwa dunian zilipeleka wanafunz nchi za magharibi 'wakaiba' ujuzi na kuurudisha nchini kwao. Rejea historia ya Korea, Taiwan, Singapore n.k
Wanaojitambua kama taifa wanafanya hivyo kwa nchi zao na wanatumwa na nchi zao kwenda kuleta knowledge ss hapa ni wangapi wamepelekwa na wakazamia mamtoni baada ya kumaliza masomo hawana hata chembe ya uzalendo wa awaza ugali wa leo na sio manufaa mapana ya taifa ni ngumu sana kwa watz wengi sijui tuna hako kaugonjwa ka uzalendoless we dont think as "WE" kitu ambacho ndio msingi wa mataifa makubwa kuwa yalivyo leo kama the "US" na wengine baba Nyerere alijitahidi kutujengea hicho kitu lakini hatukitumii na kwa kuwa hatukitumii kitakufa hatimaye!
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,415
2,000
Salaam wanajukwaa! Nimekuwa na wazo hili kwa muda mrefu sana.

Nilibahatika kusoma shule ya vipaji maalum kidato cha tano na sita na hapo nikakutana na wanafunzi 'vipanga' kweli wengine wakaishia kuwa ma TOs(Tanzania Ones).

Wanafunzi hawa ama waliishia kuitwa bungeni kupewa laptops na kupigwa picha na kupewa mkopo wa chuo kikuu( end of story). Hakuna mpango mahsusi wa kuhaness vipaji vyao au kuendeleza vipaji vyao kwa faida ya taifa zaidi ya wengine baadhi yao kubakizwa vyuon kufundisha(so sad).

Ombi langu ni kwanini kusingekuwa na presidential funded au special funded foundation kwa ajil ya kuwatafuta watu wenye akili kubwa(High IQs) toka wakiwa wadogo na kuwaweka kwenye mazingira mazuri wakasomeshwa na serikali kutoka wakiwa wadogo mpaka vyuo vikuu vya kueleweka duniani (Havard, Mist, Oxford, Stamford n.k) kwa utaratib wa kuja kutumikia nchi katika nyanja mbalimbali za kiteknolojia na ubunifu (sio siasa).

Mfuko huu unaweza kuitwa jina la Rais mwanzilishi mfano Magufuli's Special Education Fund au Presidential Education Fund, ambapo kutakuwa kunapitishwa mchujo mkali na watu kupita vijiji na tarafa zote kutafuta watu wenye uwezo mkubwa sana darasani let's say kwa kuwafanyisha mitihani mbalimbali kupima uwezo wao na kuwa recruit kweny mfuko.

Tukiwa na uhakika angalau wa kupat wanafunzi 100 tutakaowapeleka vyuo mbalimbali vya kueleweka duniani baada ya miaka kumi tutakuwa na watu kama 900-1000 ambao watakuwa na manufaa makubwa kwa nchi.
Cc: Pasko, Mag3, Petro E. Mselewa,Salary slip, Zitto, Gentamycin, Anthony Mtaka, Mwigulu Nchemba n.k
Jiulize Mkuuu, kama Mkishatoka Kibondo/Liwale/Nkasi nk kuja Kusoma Muhimbili/UDSM baaada ya Kuhitimu hamtaki kabisa kupangwa huko Mwandiga, Manyovu, Malampaka nk Mnaaanza kusema tutabanana hapahapa DAAASLAM itakuwaje Mkipelekwa HAVARD???? Si ndio mtasema heri Uoshe wazeee Mavi huko US kuliko kurudi AFRICA???
Kwa kifupi hiyo nadharia yako haiwezekani kamwe Mkuuu kwa sisi Watu Mafukara wa Nyanja zote. Ilishajaribiwa mwisho wa Siku hao Ndondocha waliopelekwa wakachukua na Uraia wa huko tukaishia kukosa Mtu na Pesa tulizomsomesha.
Ipo Halmashauri moja ya Pembezoni mwa Tzie iliamua kusomesha Vijana takribani 55 wa Eneo hilo Shahada ya Udaktari ili baaadae warudi kutibu tatizo la Uhaba wa Wataaalamu wa Afya kwa ndugu zao lkn at the end kati ya 55 walliorudi kule Kijijin kwao kuwatumikia Wananchi waliowasomesha ni 7 pekeee WHY?? Ulimbukeni na kutokuwa na Uchungu wa Utaifa/Asili yako ni Sheeedar kwa akina sie/mimi. Ni hayo tu
 
Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
813
1,000
Unayo hoja japo haujaipanga vizuri , Lakini nasikitika kukuambia kwamba MFUKO PEKEE ULIOANZISHWA NA OFISI HIYO NI ULE WA KUKUSANYA FEDHA ZA KUNUNUA WABUNGE NA MADIWANI , MFUKO HUU UMEMEZA HELA KIASI CHA KWAMBA HATUWEZI HATA KUJENGA WODI ZA WAGONJWA MPAKA TUSUBIRI RAMBIRAMBI ZA MAITI .
Kha! yaani ukitaja rambirambi sijui kwa nini Napata hasira za kustukiza!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom