Kuna haja ya kumenya viazi vya chips?

Mimi nilishaacha kunenya,Huwa navisugua kwa blash ngumu ili kutoa gamba la juu.

Ukiwa na Kiko mbili ,ukamenya tegemea kupoteza nusu kilo,awali familia yangu tulikuwa tunakula kilo tatu,baada ya kugundua hii mbinu tunakula kilo Moja na nusu
Kiafya ikoje hii haina shida?? Niliona mtu anafanya hivi sikuelewa kumbe unakula kabisaaa bila kumenyaaaa🫣
 
Ni kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana.

Nikajaribu home kutokumenya.

Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔
apply theory ya kwanin wali wa msibani ni mtamu kuliko wa nyumbani..chakula kinachopikwa kwenye mkaa au kuni ni kitamu kuliko cha kwenye gesi au umeme
 
Ni kweli kabisa, Kuna mahali nilishakula mara mbili chips ambazo hazijamenywa ni tamu sana.

Nikajaribu home kutokumenya.

Sijui kwanini chips za home huwa sio tamu 😔
Ni wapi hapo ndio kule Msosi unakuja na maua maua ? Huku kwetu mtaani ukifanya hivyo utasikia wanalalamika kwamba viazi vinapigwa dawa, kula na maganda ni kujilisha chemicals.
 
Wanasema visivyomenywa vina fibre nyingi zaidi. Hata viazi vitamu.

Ila mimi nilijua labda wazungu wana jamii yao ya viazi kumbe hata huku inawezekana.
Kwenye fibre apo nakubaliana nawewe, mana ukimenya tu mzigo unakaa sana tumbonii......vipi ukiacha na ganda lake si utakaa siku kadhaa bila njaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…