Kuna haja ya kuendesha hapa jamvini kura ya kutokuwa na imani na Tendwa.

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Jana nilimsikiliza Tendwa akijadiliana na Mtangazaji wa TBC pamoja na mambo mengine barua ya onyo aliyoiandikia CDM. Kwa namna alivyokuwa akijibu maswali na kuibua hoja, itakuwa imeonekana dhahiri kwa yeyote aliyemsikiliza ya kuwa mheshimiwa huyo hana upeo wowote; na hivyo kuendelea kubakia kwenye nafasi nyeti kama aliyonayo, kunahatarisha zaidi usalama wa taifa kuliko hayo maandamano ya CDM anayoonekana kuyavalia njuga. Ili kumshinikiza kuachia ngazi napendekeza kufanyike kura za kutokuwa na imani na utendaji wa mheshimiwa huyo hapa jamvini.
 
Haihitajiki kura ya maoni! Kwakuwa hata hiyo kura wataiendesha usalama wa taifa kwa matakwa ya mkwere! Chamaana ni nguvu ya umma tukamchomoe pale jirani na shule ya msingi bunge
 
Yuko pale kutimiza matakwa ya Bwana (Boss) wake. hana uwezo wa kuitendea haki CDM
 
Back
Top Bottom