Kuna haja ya chenji?....

Kuna haja ya chenji?....

kamtu33

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
998
Reaction score
409
Eti umeenda dukani kununua sumu ili ujiue umetoa noti ya elfu 10 kuna haja ya kudai chenji? naombeni majibu pls!
 
Chenji ni muhimu hata kama ni shilingi hamsini haiachwi, kufa na chenji vitu viwili tofauti
 
Eti umeenda dukani kununua sumu ili ujiue umetoa noti ya elfu 10 kuna haja ya kudai chenji? naombeni majibu pls!

Ha!
Haha!
Hahaha!
Hahahaha!
Hahahahaha!
Hahahahahaha!
Hahahahahahaha!
Hahahahaaaaaaaaa!
 
Chenji muhimu, sasa waombolezaji watapata wapi za maji ya kunywa wakimaliza kulia kabla hawajaanza kujichangisha za sanda. Tena chenji iwe ya msimbazi ili ukumbukwe kwa mengi
 
Chenji muhimu, sasa
waombolezaji watapata wapi za maji ya kunywa wakimaliza kulia kabla
hawajaanza kujichangisha za sanda. Tena chenji iwe ya msimbazi ili
ukumbukwe kwa mengi

ni kuwadhulumu warithi!
 
Back
Top Bottom