Kuna haja ganiiiiiiii jamaniiiiiiiiii!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ganiiiiiiii jamaniiiiiiiiii!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by super thinker, Mar 15, 2011.

 1. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF,kuna haja gani ya muoaji/muolewa kutumia pesa mingi kwenye harusi or sendoff...ni tamaduni or fashion?????lengo hasa ni nn,kujionyesha/kuiga/kufurahi/mkumbo tu....Nimemshuhudia jamaa aki2mia 30 mil. along with a series of vikao vichoshavyo ajabu,wakati kapanga analipa 60,000 p.m.......baada ya muda ndoa ndoano.......tunahitaji mabadiliko ya kweli kwenye hii field jameni.......it begins :angry::angry:
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Hiyo sakramenti hutolewa mara moja (kwa wakristu) hairudiwi na iko kama kifo hakirudii mara mbili

  Once in a life time sioni tatizo hapo
   
 3. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 3,012
  Trophy Points: 280
  Ni sawa unayosema DA lakini kwa fedha zako sio kutwa michango na mbaya unapokuwa kwenye kamati mara bajeti imekuwa kubwa kuliko makusanyo inabidi wanakamati wanaingia mfukoni kutoa chochote kitu. kweli mabadiliko yanatakiwa katika hili.
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  tatizo gharama sio once in a time best angu. mbona tunapozaliwa gharama ni ndogo,au hata tunapoandaa mazishi baada ya kifo gharama huwa chini kiasi. 30 mil afu ndoa ndoano!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  My dear
  harusi za siku hizi nyingi ni
  fashion, glamorous etc
  Na mie si oni ubaya wowote kama
  Una pesa zako ..

  Na harusi za miaka hii ni business
  Kuna TV program moja nimesahau jina
  Watu wanashindana harusi ya nani ni better..
  Kwa mie binafsi harusi kama hizi ni
  Show off...
  na wengi tunasahau maana ya ndoa/harusi

  Lakini saa nyingine ni per pressure ya maisha yA
  Kisasa..
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,012
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  it is tru mama, but it has become too expensive. Na hii ni mojawapo ya sababu vijana wengi wakristo inawafanya wasioe mapema au kushindwa kabisa.
   
 7. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,018
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kwa raha zake.......... kama hela ipo na ye anataka kuweka historia afanyeje? ubaya kama hiyo hela ameikopa basi
   
 8. d

  damn JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  na hii inanifanya nichelewe kuoa, bado natafuta pesa za harusi
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,782
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  simpooo changisha watu!:embarassed2:
   
 10. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jamani tufikirie,kama wataka kuolewa na mm usifikirie harusi fikiria ndoa...............cna hela ya harusi nina hela ya maisha ya ndoa,kufanya every thing beautful in marriage fpr enjoyment........ctaki kuwachosha ndugu zangu na wako kwa vikao elfu kidogo for a one saturday night stand...........change begins with u n me.:juggle:
   
 11. charger

  charger JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,318
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  AFROD nazungumzia bridalplasty nini ya channel moja ya US inaitwa E?maana huko ndiko kuna jeuri ya fedha.Minafikiri hakuna shida as long as hizo mbwembwez etc they are not at other people'cost.
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Acheni kuchangia harusi mkae huru si lazima wajameni aiiii
   
 13. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli dana,never changia never changia.............stay free:smash:
   
 14. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  D tatizo ni kwamba kuna kitu kinaitwa utamaduni. Unapojenga utamaduni fulani katika jamii, inatarajiwa watu waufuate maana ni utaratibu unaokubalika. Sasa kwa watu wengi hata kama hataki inakuwa ngumu kwake kukataa kwa sababu wengi wetu hatuna ubavu wa kufanya kinyume na matarajio ya jamii inayotuzunguka ( Mimi huwa sichangii harusi hata hivyo). Kwa hiyo ili kuwasaidia na wengine ambao hawaupendi huu utaratibu kunahitajika mabadiliko ya kimtazamo katika jamii nzima.
   
 15. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mtu anafanya harusi ya mamiilioni halafu baadaye maisha ya ndoa - ukata mtupu?? anyway KUPANGA NI KUCHAGUA
   
 16. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Nimeshajiwekea utaratibu...............sichangi ndoa zaidi ya kiasi fulani...........nachangia elimu kwa uwezo wangu woote nilionao wa kuweza kuchanga........tubadilike!
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mnanifurahisha sana mnalalamika lakini mwisho wa siku bado mtachangia ambaye hajawahi kuchanga au kuchangiwa kwenye harusi yake na awe wa kwanza kusema hapa
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Sifa....wanataka kuonekana!!!But again kama mtu ana pesa zake acha ajionyeshe.....tatizo ni kwamba wengi wanatumia mamillioni alafu kesho na kesho kutwa ndo imeyeyuka au wanapata watoto ada inakua ya kuhesabu!!!!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  MIMI sijawahi!!!!
   
 20. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,009
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  for us christians wedding is only once in life,siku hiyo haitakaa ijirudie tena so sioni tatizo kama mnapendana mna malengo and uwezo unaruhusu its better to make the day unique and wonderful for both of u coz its the big step in life and the only which will never come back again
   
Loading...