The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Mimi na wewe tunajuana l.o.l!!!!!MIMI sijawahi!!!!
Mimi na wewe tunajuana l.o.l!!!!!MIMI sijawahi!!!!
Wana JF,kuna haja gani ya muoaji/muolewa kutumia pesa mingi kwenye harusi or sendoff...ni tamaduni or fashion?????lengo hasa ni nn,kujionyesha/kuiga/kufurahi/mkumbo tu....Nimemshuhudia jamaa aki2mia 30 mil. along with a series of vikao vichoshavyo ajabu,wakati kapanga analipa 60,000 p.m.......baada ya muda ndoa ndoano.......tunahitaji mabadiliko ya kweli kwenye hii field jameni.......it begins :angry::angry:
na hii inanifanya nichelewe kuoa, bado natafuta pesa za harusi
Mimi na wewe tunajuana l.o.l!!!!!
Kwa hiyo kuzaliwa, kufa, kustaafu nk kuta-come back again!!!for us christians wedding is only once in life,siku hiyo haitakaa ijirudie tena so sioni tatizo kama mnapendana mna malengo and uwezo unaruhusu its better to make the day unique and wonderful for both of u coz its the big step in life and the only which will never come back again