Kuna haja gani ya kuwakumbatia hawa?kikwete usipotoshe umma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja gani ya kuwakumbatia hawa?kikwete usipotoshe umma!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NIPENDEMIMI, Nov 21, 2011.

 1. N

  NIPENDEMIMI Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikijiuliza hivi kuna haja gani ya kumshambulia Lissu juu ya hotuba ya kambi ya upinzani, kuna haja gani ya kubishania mambo yaliyo wazi juu ya mustakabali wa taifa hili, kuna haja gani ya kubishana juu ya ukweli kwamba ccm wanapotosha umma ili wateke katiba mpya, kuna haja gani ya kukataa kuwa suala la katiba lilikuwa ni sera ya chadema, kuna haja gani ya kungangania madaraka kwenye uundwaji wa tume ya kuandika katiba kama kweli umeamua kuwaletea katiba mpya, kuna nini nauliza kuna haja gani?kuna haja gani ya kuwa na ccm hali wamekuwa ndo wavunjifu wa sheria,
  kuna haja gani ya kuendelea kuwalea hali ndo wafadhili wa mafisadi, askofu wa kanisa lao ni kikwete na waumini ni mawaziri na wabunge ccm na makada wao, kuna haja gani ya kupotosha umma juu ya mambo ya msingi!watanzania tuamke mambo sio, yaliyojiri tangu buzwagi, iptl, tangold, bulyankulu, richmond, kiwira, buhemba, geita, tulawaka, mchuchuma, deepgreen, epa, na sasa EPZ, SYMBIONS, WIZARA YA NISHATI, KAGODA NA UMILIKI WA KIKWETE , kweli kuna haja ya kuwa na hawa watu???kuna haja ya kujiuliza na kuendelea kuwa na matumaini juu ya hawa watu??
  walioshindwa miaka 50 iliyopita kuleta maendeleo ndo wataweza sasa hivi?kuna haja gani watanzania kuchukua maamuzi magumu??kamwe tusitegemee maendeleo kutoka kwa hawa watu naapa, lazima tuamke na tuisimamie nchi sio kukaa vyumbani na kudai maendeleo!these are purely failures.

  Nimemsikia kikwete akibeza juu ya wapinzani eti walisema wataleta katiba ndani ya siku 100, wewe ni kiongozi wa juu wa chama na serikali, kila mtanzania anajua chadema walsema nini juu ya hilo, KILICHOONGELEWA KILIKUWA NI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA SIO KATIBA MPYA?AMA KWELI NDO MAANA UNAVUNJA SHERIA KWA KUINGILIA MAHAKAMA NA KUSAMEHE WEZI WA EPA ETI WARUDISHE HALI SHERIA ZIKO WAZI JUU YA MWIZI, NA ULIFANYA ILI KULINDA USHIRIJKIN WAKO NA HAYA YOTE TUNAYAJUA, TUNASUBIRI UKAE PEMBENI ILI ULIPULIWE VIZURI N THIS TIME AROUND, LAZIMA UANGUKE KWENYE MIKONO YA SHERIA, WEKENI MIFUMO YA KULINDANA ILA MABADILIKO NI KA UPEPO HAKUNA WA KUZUIA, TUMECHOKA NA HATUNA HAJA YA KUWA NA CCM, NI WEZI UAHANISI, USALITI, UFISADI, UNAFIKI KWA WANANCHI NA UPUMBAVU WA KUTOELIMISHA WANANCHI, LEO ETI UMEME UPANDE KWA 155% KWA KIPATO KIPI NA WEWE UPO UNACHEKAKCHEKA, KIPATO CHA MTANZANIA KINAWEZA KUMUDU BEI HII???LAZIMA UKAE CHINI UANAYSE ISSUE HATA KAMA UPEO WAKO MDOGO HILI HALIITAJI AKILI NYINGI!
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kikwete, ukifanya mchezo utapinduliwa na maandamano
   
 3. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  amina!
   
 4. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 427
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kweli kuna haja gani!
   
Loading...