Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,081
Wakuu,
Najua wengine katika jukwaa hili mpo high kujua nini kinaendelea huko mataifa ya nje hususani nje ya bara la Africa...kati ya North Korea Na USA.
Sifungamani na upande wowote
Watanzania wenzangu,kuna sababu gani ya kwanza kushangilia na kushadadia huu mtafaruku unaoweza kupelekea vita Kubwa??
Wapuuzi wengi humu Jf utaona wana comment "wachapane tu" "ije vita ya 3 ya dunia" are you insane???
Hivi ikiokea vita wewe mtanzania utafaidika nini? Kwanini wengine mnasherehekea na kuwa curious to know who's gonna reply what?who's gonna say what?? Hata Mungu hapendi.
Jamani USA na N.Korea kina watoto kama ambao mnao majumbani mwenu huku Bongo mnaishi nao na kuwa take care kila siku,Mna watoto na ndugu zenu wadogo kabisa.
Kuna wamama,hakuna kundi linaathirika ikitokea vita mahali popote kama hili na la watoto na wazee. Hamna mama nyinyi majumbani mwemu??? Kwanini munafurahia wakati huu na mnawaombea hali mbaya wamama waliopo N.korea na USA???
Kuna wazee kule,bibi na babu na wazee kwa ujumla. Kwanini hamuwaonei huruma hawa wasio na hatia wasioweza hata kujitetea pengine. Na kama ingekuwa kwa matakwa yao I'm so sure wasingekubali Haya yatokee.
WaTz let's play humanity status in our soul,nachukizwa na hii Tabia...sisi wenyewe tuna matatizo kibao ya kuyapazia sauti hospitali dawa hakuna,madaktari hakuna,elimu duni bado lakini you guys are busy praising MOB and Daddy sijui FOA ni nini hii??
Huko kukitokea vita uchumi wetu utatetereka,hapa tu tunalalamika hali ngumu kukitetereka huko sisi huku tutasemaje?
Instead of praising this stupidity matatizo ya wenzetu,tumuombe Mungu aepusha hivi vitu ambavyo hata sisi hatuhusiki lakini vitaleta matatizo na athari mpaka katika nchi zetu. Tumuombe sana Mwenyezi Mungu aepushe Haya.
N.Korea - North Korea
USA - United state of America
MOB - Mother off all Bomb
Dady/FOB- Father of all Bomb