Madagascar: Rais amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje kwa kuilaumu Urusi katika Umoja wa Mataifa

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Rais wa Madagascar amemfukuza kazi waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo kwa sababu alipiga kura kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa linalolaani kura za maoni za Urusi kuchukua sehemu za ardhi ya Ukraine, vyanzo vya habari vinasema.

Richard Randriamandrato alipiga kura bila kuzungumza na serikali nyingine, shirika la habari la AFP linaripoti, likinukuu chaneli ya serikali ya TVM.

Vyanzo viwili vya habari katika ofisi ya rais pia vililiambia shirika la habari la Reuters hii ndiyo sababu aliyomfukuzisha kazi.

Kulikuwa na nchi nyingine 142 ambazo pia zilipiga kura kuunga mkono azimio na kulaani Urusi kutokana na kura hizo za maoni ambazo zilitazamwa kuwa ni fedheha na sehemu kubwa ya jumuiya ya kimataifa.

Hadi sasa Madagascar imechukua msimamo wa kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine, na nchi nyingine kadhaa za Afrika.

Nchi nyingi zilizojiepusha nazo zilikuwa za Afrika.

Belarus, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea, Nicaragua, Urusi na Syria ndizo nchi pekee zilizopiga kura kupinga azimio hilo.

---

Madagascar minister fired for voting against Russia's Ukraine annexation​

ANTANANARIVO, Oct 19 (Reuters) - Madagascar's president has fired his foreign affairs minister for voting at the United Nations to condemn Russian-organised referendums to annex four partially-occupied regions in Ukraine, two sources at the president's office said.

Last Wednesday, the U.N. General Assembly voted overwhelmingly to condemn what it said was Russia's "attempted illegal annexation" of the four regions in Ukraine and called on all countries not to recognise the move.

Of the 193-member General Assembly, 143 countries voted in support of a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.

Russia's invasion of Ukraine this year has put many African countries in an awkward diplomatic position. Many have a complicated history of relations with the West and the former Soviet Union as well as important economic ties to Russia.

They have largely avoided taking sides over the war, frustrating some Western nations.

Until last week, Madagascar always abstained during the various votes on resolutions related to the crisis in Ukraine. The government spoke of neutrality and non-alignment on the subject.

Randriamandrato declined to comment.

Eighteen of the 35 countries to abstain on last week's vote were African. Russia, Belarus, North Korea, Syria and Nicaragua voted against the resolution.
 
Safi Sana, hajitambui
 
Hii inshu hata Tanzania inaweza kutokea (ila ni raisi ndio atafanya hivyo).
 
Inaelekea marekani wanahonga hadi wapiga kura wasaliti nchi zao
Alisahau hawezi kuweka maslahi yake mbele kabla ya maslahi ya taifa lililomtuma.
 
Nampongeza huyo rais wa Madagascar 🇲🇬 kwa uamzi wa busara aliochukua wa kumfuta kazi huyo waziri. Congratulations Mr president 👏
 
Back
Top Bottom