Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,160
- 20,337
Uzuri ni kwamba Urais wa Tanzania haupatikani kwa kura za wanyonge.Genge hili linahonga hadi viongozi wa jumuia za kikistro ili waanzishe movement kulalamika Rais Samia anataka kuiuza nchi kwa jumuia ya Kiislamu, lengo wamchafue kisiasa na akose kabisa uungwaji mkono.
Hata wasipomuunga mkono atashinda tu.
Ondoa shaka ewe msema uongo.