Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja

ntemintale

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
956
Reaction score
1,878
Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo
Shida ni nini?

1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au

2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na kuwepo na michepuko miwili au

3. Kutanua holela kwa madereva wenye haraka.
TUJADILI
 
Ndio nimetoka apo tangia saa 5 usiku...foleni ni kali sana
 
Kwa wachepukaji ni pazuri sana hapo.. unapiga tu cm..Kuna folen
 
Nimekutana nayo kwa komba nikiwa naelekea kwa mathias, nilijua ni leo tu bahati mbaya, kumbe watu wa pwani mmeshazoea.
 
Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo
Shida ni nini?
1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au
2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na kuwepo na michepuko miwili au
3. Kutanua holela kwa madereva wenye haraka.
TUJADILI
Chini ya CCM nchi inaendeshwa kisanii tu, msitegemee maendeleo chanya chini ya utawala wa CCM.
 
Ile barabara ya njia tatu inapaswa iende mpaka Chalinze
20250822_222135.jpg
 
Back
Top Bottom